Kuna ubaya kumpa penzi mama mkwe?

Status
Not open for further replies.

MtuSomeone

Member
Dec 7, 2008
57
3
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!

Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??

Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?
 
Mkubwa hapo tunasema umeend ato the xtreme! mama mkwe tena? HAPANA. Kwa standards zozote zile, hapo hairuhusiwi. Unachokifanya sicho kabisa...kaa naye mbali!
 
Kaka inaonyesha umeshaplan kulala na huyo mama, coz kwa jamii yetu i dnt think kama kuna haja ya kuomba ushauri kwenye issue kama hiyo. Sababu usingekuwa una hilo lengo ungeanza kutafuta ushauri kwa mkeo. Dont do that!
 
LOL salaleh..!

Dunia kweli imekwisha..Yaani bila aibu mtu anathubutu kuleta jambo kama hili ktk jamvi letu tukufu?

Mods fungia huyu..
 
Asanteni wakuu, kama nilivyosema mwanzo mi emgeni mjini hapa na nyie wazee wa mjini mna mambo yenu!!
....Sasa unajua hapa ni sehemu ya kuelekezana mambo. Hicho ni kisa cha kweli jamaa alikula mkwe, mkwe akatamani zaidi na zaidi matokeo yak endo aimevunjika!! Jamaa amegundua latear kuwa mama mkwe ni balaa kwa vi-Serengeti boys, toolate!! Mama na mwanae hawaongei halafu mwana kapata mtasha yupo kwa Obama sasa hivi, jamaa yupoyupo tu!!
Kwa hiyo wajemeni tuwe mbali na mama wa dizaini hizi, ni laana!! Ukionja tu tegemea kwenda down kwa kwenda mbele kimaisha......
Mchana mwema
 
Naona maamuzi umeshafanya, lakini hapo ukitaka kuonyesha ujuzi inabidi uwakusanye wote wawili at the same time! Wafaransa wanaita Ménage à trois!!
Goodluck and Godspeed!!!
 
...mada nzuri, yanatokea sana haya, wala si mambo ya ajabu.

...hayo ndiyo yanayoitwa majaribu, utavyoweza yashinda ndivyo utavyoonekana muungwana mbele ya jamii.
 
Hapa kaka unauliza tu kwa sababu ya 'guilty consciousness' inayokusuta! Kwani tabia ina ugeni wa 'u-mji'?
 
Haroo usile kuku na mayai yake kwa pamoja ni hatari ukitofautiana na mmoja kesi utaipeleka wapi.
 
Tokea zama wazee wetu walishabaini jinsi gani mwanadamu alivyo dhaifu na ndio maana makabila mengi ya kiafrika kula,kukaa,kushikana mikono,kugongeana mikono etc na mama mkwe ni taboo kabisa.Tatizo siku hizi tuneleta mambo ya kileo na kuona mila kama hizi zimepitwa na wakati,kumbe zina maana kuu.Usishangae baba kusikia analala na bintie kumbe mkasa unaanzia kwenye upuuzi huu wa kukaa kilevini na kuanza kushikana mikono.
 
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!

Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??
Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?

Hili si la kuomba ushauri maana unajua unachopaswa kufanya. Nakushauri fanya kile unachopaswa kukifanya
 
LOL salaleh..!

Dunia kweli imekwisha..Yaani bila aibu mtu anathubutu kuleta jambo kama hili ktk jamvi letu tukufu?

Mods fungia huyu..

Ha,ha. Hapa Mkuu Mtindiowaubongo tupo pamoja na Mkuu semesozi sijakuelewa unavyosema kwamba wewe ni mgeni hapa mjini sijajua una maana gani maana sidhani kama ujinga huu hata huko ulikotoka ambapo sio mjini kama hapa kwa mujbu wa maneno yako unafanyika kwa mtu mwenye akili timamu.
 
Ndiyo kuna ubaya. Ondoa akilini mahusiano ya aina hiyo na ma'mkwe wako.

Haileti picha nzuri kwenye jamii inayokuzunguka. Jiepushe na hivyo vishawishi!

Tena kwa vile unashuhudia hivyo vishawishi unatakiwa uwe makini sana ili kutoendeleza hatua ambayo unajua itafuata kati yenu wawili.

Punguza mawasiliano ikiwezekana usiwe nae wakati upo mwenyewe bila mkeo maana mazingira pia yanachangia.

Bel.
 
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!

Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??
Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?

'Chema' mwenyewe anajua kama huwa unavinjari na mama yake? Ni vema ukawa muwazi kwa mkeo katika hili na ikiwezekana muwe mnatoka wote watatu au wanne (na baba mkwe pia) kama ikibidi. Kama mama ataendelea 'kugonga na wewe' mbele yao basi huyo mama atakuwa na pepo la ngono mpelekeni akaombewe:)! Mimama mingine huwa haina heshima ati!

Mara nyingi si rahisi mtu kuingilia mapenzi yenu kama akiona nyie wawili mnapendana hasa na ni wamoja kweli.

Usijaribu kuikaribia zinaa. Zinaa inakimbiwa!
 
Kuna koo zina pepo la ngono, kuna mshikaji aliowa huko, akalamba wadogo wawili wa mke wake na mama mkwe vile vile. Jamaa alikuja chukia alipogundua kumbe mke wake naye amemegwa na shemeji yake ambaye naye alilamba kama alivyofanya yeye pamoja na mkwe wao. Nadhani familia zenye pepo za ngono ni vizuri kila wakati mkiwa kwenye vilevi uwe na mkeo, mambo ya kutoka na mama mkwe hasa kama analipa baada ya ze larger mnaweza tamaniana na mkaishia kulana uroda...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom