Kuna tofauti kati ya sheria na Legitimacy ya sheria

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Sheria nzuri ni ile inayokubalika. Hata uwe na sheria nzuri kiasi gani kama haina support ya wananchi ni bure. Huu mswada wa katiba ambao ccm wanashangilia sana hauna maana yeyote maana huku nje wananchi hawaungi mkono.Inaonekana serikali imepania kutumia katiba kubaki madarakani ndio maana wanalifanya hilo swala liwe la ki ccm zaidi. Ndoto za Dr Kikwete kuacha jina zuri kwa kutengeneza katiba hazitatimia maana katiba itakayopatikana haitakuwa ya wananchi bali ccm na hivyo bado kwenye kampeni watu watakuwa wanazunumzia katiba kama tatizo
 
Back
Top Bottom