Kuna tofauti kati ya mkono wa sweta na kukata suna?

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
jf naomba nifaham zaidi mana huwa najiuliza sana,hivi katika kufanya sex hawa akina dada wanapata hutofauti gani wanapokuwa wanafanya ngono na mwanaume aliyetahiriwa au asiyetahiriwa? licha ya kwamba ya govi lina sura mbaya kama pua ya nguruwe ila ipi tamu zaidi kwao kwenye lovemaking?
 
Duh!Sura Mbaaya Kama...?,Hivi Unaujua Mvuto Wa Pua Ya Nguruwe Wewe??
Wenye Magovi tunalo!
 
govi/mkono wa sweta, kutahiliwa suna. Wewe kwa mawzo yako ni nini unadhani poa. mia
 
Looh!!Nadhani mwenye sweta anafaidi mara mbili si unajua tena ile ngozi inapofunguka we acha tu,ila kwa kuwa wamo humu wafunguke please
 
jf naomba nifaham zaidi mana huwa najiuliza sana,hivi katika kufanya sex hawa akina dada wanapata hutofauti gani wanapokuwa wanafanya ngono na mwanaume aliyetahiriwa au asiyetahiriwa? licha ya kwamba ya govi lina sura mbaya kama pua ya nguruwe ila ipi tamu zaidi kwao kwenye lovemaking?

On my Book knowledge, Aliyekatwa sunnah ndiye anaweza kuisugua G-Spot ipasavyo. Mkono wa sweta kichwa chake kinakuwa kina Highly sensitivity, so ease to ejaculate wakati mwanamke hajatosheka.
 
Tofauti anapaswa kuiona mwenye huo mkono wa sweta, akitahiriwa baadaye ukubwani. Mwanamke huwezi kuona tofauti yoyote wakati wa intercourse. Tofauti inaletwa na size ya dick, ubunifu na muhimu kuliko vyote jinsi unamvyomfeel huyo partner wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom