Kuna tofauti gani ya kupata urais na kuwa rais ?

Swali gumu sana hilo, mtu asipokuwa makini anaweza kupata "zero"

Ngoja nijaribu kwa kutoa mifano..........

Mwalimu alikuwa Rais....Mzee Ruksa alipata U-Rais

Mr Clean alikuwa Rais.....Mk**e alipata U-Rais

Hassan Dalali alikuwa Mwenyekiti....Ismail Aden Rage alipata U-enyekiti.....!!!!!!!!
 
mkuu naona umenipa kazi nyingine tena.but nimekupata
 
Kwa mtazamo wangu kupata urais ni kitendo cha mtu kuingia madarakani (madaraka yenye jina la urais) baada ya kuwa ametamani na kutafuta nafasi hiyo kwa muda fulani kabla. Kwa Tanzania ni namna kama iliyomwingiza JK madarakani. Hapa mtu anayetamani kuwa rais anakaa na watu wake wa karibu na kupanga mikakati ya namna gani ataweza kupata nafasi hiyo. Mwisho wanatafuta fedha na kufanikiwa kutengeneza njia inayompeleka jamaa madarakani. Sifa mojawapo ya viongozi wa aina hii ni kushindwa kutoa maamuzi kwa kuwaogopa waliompa/kumwezesha kupata urais huo. Huyu hata ukimwuliza ghafla tangu ameingia madarakani amefanya nini anachoamini rais mwingine asingeweza, atakwambia ametoa uhuru kwa vyombo vya habari na kummwagia tindikali aliyetumia uhuru huo kufichua maovu ya wanasiasa.

Kuwa rais
ni kitendo cha mtu kuingia madarakani (urais) baadaya kuwa amefanya shughuli tofauti kwa mafanikio makubwa au madogo pasipo yeye mwenyewe kutamani wala kukusudia saaana kupata nafasi hiyo. Mfano inatokea mtu, kwa imani za watu kwake akajikuta anawajibika kuchukua nafasi hiyo kwa matakwa ya watu wengine na kuwa na mamlaka kamili juu ya maamuzi anayopaswa kuyatoa pasipo kuwaogopa watu fulani fulani. Dr. Slaa angeingia madarakani baada ya uchaguzi wa 2010 angekuwa rais. Dr. Shein wa Zanzibar pia anaweza kuwa mfano wa ambaye amekuwa rais maana hakujitafutia nafasi hiyo mwenyewe bali watu walioamini atafaa ndiyo walipendekeza na kumuwezesha japokuwa inawezekana wakawa wamefanya hivyo kwa maslahi yao tofauti na umma. Kama anao uhuru wa kuamua anachoamini kinawafaa watu wake kwa pamoja pasipo kuhofu watu waliomweka hapo anafit moja kwa moja katika hili.
 
Kwa mtazamo wangu kupata urais kitendo cha mtu kuingia madarakani (madaraka yenye jina la urais) baada ya kuwa ametamani na kutafuta nafasi hiyo kwa muda fulani kabla. Kwa Tanzania ni namna kama iliyomwingiza JK madarakani. Hapa mtu anayetamani kuwa rais anakaa na watu wake wa karibu na kupanga mikakati ya namna gani ataweza kupata nafasi hiyo. Mwisho wanatafuta fedha na kufanikiwa kutengeneza njia inayompeleka jamaa madarakani. Sifa mojawapo ya viongozi wa aina hii ni kushindwa kutoa maamuzi kwa kuwaogopa waliompa/kumwezesha kupata urais huo. Huyu hata ukimwuliza ghafla tangu ameingia madarakani amefanya nini anachoamini rais mwingine asingeweza, atakwambia ametoa uhuru kwa vyombo vya habari na kummwagia tindikali aliyetumia uhuru huo kufichua maovu ya wanasiasa.Kuwa rais ni kitendo cha mtu kuingia madarakani (urais) baadaya kuwa amefanya shughuli tofauti kwa mafanikio makubwa au madogo pasipo yeye mwenyewe kutamani wala kukusudia saaana kupata nafasi hiyo. Mfano inatokea mtu, kwa imani za watu kwake akajikuta anawajibika kuchukua nafasi hiyo kwa matakwa ya watu wengine na kuwa na mamlaka kamili juu ya maamuzi anayopaswa kuyatoa pasipo kuwaogopa watu fulani fulani. Dr. Slaa angeingia madarakani baada ya uchaguzi wa 2010 angekuwa rais. Dr. Shein wa Zanzibar pia anaweza kuwa mfano wa ambaye amekuwa rais maana hakujitafutia nafasi hiyo mwenyewe bali watu walioamini atafaa ndiyo walipendekeza na kumuwezesha japokuwa inawezekana wakawa wamefanya hivyo kwa maslahi yao tofauti na umma. Kama anao uhuru wa kuamua anachoamini kinawafaa watu wake kwa pamoja pasipo kuhofu watu waliomweka hapo anafit moja kwa moja katika hili.
Analysis nzuri!
 
Rais anaweza kuwa wa Coca Cola, Toyota, Chuo au taasisi yoyote, nchi n.k. Tena nasikia siku hizi hata kuku nao eti wanataka wawe na Rais wao. Wanasema eti wamechoka kuchinjwa chinjwa ovyo na binadamu. Hawakatai kuchinjwa, ila wanataka kuwe na utaratibu maalum wa kupotezewa maisha yao. Takwimu zinonesha kuwa kuku zaidi ya bilioni 10 hupoteza maisha kila mwaka, idadi inaweza kuongezeka miaka ya karibuni
 
unaongeza idadi ya post zako
 
Kwa mtazamo wangu kupata urais ni kitendo cha mtu kuingia madarakani (madaraka yenye jina la urais) baada ya kuwa ametamani na kutafuta nafasi hiyo kwa muda fulani kabla. Kwa Tanzania ni namna kama iliyomwingiza JK madarakani. Hapa mtu anayetamani kuwa rais anakaa na watu wake wa karibu na kupanga mikakati ya namna gani ataweza kupata nafasi hiyo. Mwisho wanatafuta fedha na kufanikiwa kutengeneza njia inayompeleka jamaa madarakani. Sifa mojawapo ya viongozi wa aina hii ni kushindwa kutoa maamuzi kwa kuwaogopa waliompa/kumwezesha kupata urais huo. Huyu hata ukimwuliza ghafla tangu ameingia madarakani amefanya nini anachoamini rais mwingine asingeweza, atakwambia ametoa uhuru kwa vyombo vya habari na kummwagia tindikali aliyetumia uhuru huo kufichua maovu ya wanasiasa.

Kuwa rais
ni kitendo cha mtu kuingia madarakani (urais) baadaya kuwa amefanya shughuli tofauti kwa mafanikio makubwa au madogo pasipo yeye mwenyewe kutamani wala kukusudia saaana kupata nafasi hiyo. Mfano inatokea mtu, kwa imani za watu kwake akajikuta anawajibika kuchukua nafasi hiyo kwa matakwa ya watu wengine na kuwa na mamlaka kamili juu ya maamuzi anayopaswa kuyatoa pasipo kuwaogopa watu fulani fulani. Dr. Slaa angeingia madarakani baada ya uchaguzi wa 2010 angekuwa rais. Dr. Shein wa Zanzibar pia anaweza kuwa mfano wa ambaye amekuwa rais maana hakujitafutia nafasi hiyo mwenyewe bali watu walioamini atafaa ndiyo walipendekeza na kumuwezesha japokuwa inawezekana wakawa wamefanya hivyo kwa maslahi yao tofauti na umma. Kama anao uhuru wa kuamua anachoamini kinawafaa watu wake kwa pamoja pasipo kuhofu watu waliomweka hapo anafit moja kwa moja katika hili.

Mkuu hii ndio tofauti ya kuwa raisi na kupata uraisi haswa!
 
Swali gumu sana hilo, mtu asipokuwa makini anaweza kupata "zero"Ngoja nijaribu kwa kutoa mifano..........Mwalimu alikuwa Rais....Mzee Ruksa alipata U-RaisMr Clean alikuwa Rais.....Mk**e alipata U-RaisHassan Dalali alikuwa Mwenyekiti....Ismail Aden Rage alipata U-enyekiti.....!!!!!!!!
Sitta alikuwa Spika, Makinda aliupata uspika.....umemaliza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom