kuna tofauti gani kati ya kuwa.....

mmzalendo

Senior Member
Nov 1, 2010
165
1
hivi kuna tofauti gani kati ya watanzania na waliopo jela?


kwanza kuna wengi waka jela na hawana hatia lakini pia jela kuna ulinzi wa kutosha
ukirudi kwetu sisi tulioko huru ukisema tu kajambo ka kugombea uhuru wako unazushiwa kesi na kupelekwa jela
na ukipinga ccm una funguliwa kesi na kwenda jela
sasa hapa mimi napata utata sisi tunaotembea uhuru lakini tuna hofu ya matendo yetu na maneno yetu tunatofauti na wale walioko jela au wale wajela wana uhuru kuliko sisi?
 
Hapana Wewe sema WADANGANYIKA oops waTanganyika sio waTanzania kwani huko una include wanaume toka Zenji
 
siko sure kama zenj hali ni tofauti na hiyo mkuu lakini kama ni kweli basi hapo kazi ipo kumbe tuna nchi mbili, lakini kaka inakuwa je ccm wanawachichia pori kwenye uchaguzi sorry kumbe kuna serikali ya mseto
Hapana Wewe sema WADANGANYIKA oops waTanganyika sio waTanzania kwani huko una include wanaume toka Zenji
 
kaka samahani lakini mimi naunga mkoni tuko kama jela na tena maisha yetu yako hatari kama ya jela tu, ukiandamana kuna 50% kupigwa risasi na polisi lakini jela wana ulinzi na kama utabeba nondo na kuwa bounce basi huko safe kuliko ushwahilini
Ndugu yangu tema mate chini.
Jela upaikie tuu.
 
Back
Top Bottom