Kuna tofauti gan kati ya sheria na amri?

Lazim kutakuwa na tofauti kati ya sheria na amri kama ipo karb kwa msaada wenu

Sheria ni mfumo na taratibu zilizotungwa maalum kurahisisha mfumo wa utawala,kwenye kada yoyote wakati amri ni hali ya kulazimisha kufanyika jambo kwa njia ya karipio!
 
Back
Top Bottom