Kuna Tetesi kwamba Sitta Amepewa 'Waziri Mkuu' Tafadhari Tafadhari!

Nawashangaa sana! wakati mnaona madudu ambayo yalijificha awamu zote, yanajitokeza katika awamu hji mnaona kuwa ni uongozi mbaya!

I wonder why do you always think in reverse?

Ni dhahiri kwamba uongozi mzuri na usiopenda ufisadi ndio unafichua madudu mpaka mnayaona yakifichuka leo hii.

FF ingekuwa kweli kwa maoni yako basi tungeona reaction kwa haya maovu yanafichuka. ni kweli mengine yametoea si kipindi cha JK. tena makubwa yametokea kipindi cha Mkapa.


Sasa kama kweli uongozi haupendi na kukumbatia Ufisadi na mafisadi mbona hatua zake ni za kulega lega juu ya huo Ufisadi.
Soma mifano hii michache

  • Chenge kafanya madudu kipindi cha mkapa. Jk ajijua yote karuhusu agombee ubunge.
  • Serikali ya JK JK inamshitaki mramba kwa maosa yalyofayika kipindi cha Mkapa. lakini JK kama mwenyekiti wa CCM anaruhusu huyo huyo anayemshtaki kgombea ubunge.
  • JK alisemekana atarudisha nyumba akiingika madarakani. Leo hiii
Ebu kuwa mkweli Watu wanazidi kutambua ukweli na CCM inapelekwa na upepo wa mabadiliko.
 
hapana bana, JK angempa Sitta uraisi wake tu ndio ingekuwa zawadi kubwa na nzuri, sijui mnasemaje kwa hilo
 
Wadau nimejitahidi at my level best of understanding kuilewa thread hii lakini nimetoka kapa na nimerudia kuisoma tena mara 5 lakini nimetoka kapa, i really dissapointed na mtoa mada.
Ushauri: sio lazima uanzishe thread, inatosha ukisoma za wenzako na ukachangia na kama huna cha kuchangia then unaskip. mimi tangu nimekuwa member hapa sidhani kama nafikisha hata thread 50 ambazo nimezianzisha. uhandishi wa namna hii ni kutafuta kudharauliwa na kupewa maneno ya kejeri halafu ulalamike kwamba umetukanwa.
 
Nawashangaa sana! wakati mnaona madudu ambayo yalijificha awamu zote, yanajitokeza katika awamu hji mnaona kuwa ni uongozi mbaya!

I wonder why do you always think in reverse?

Ni dhahiri kwamba uongozi mzuri na usiopenda ufisadi ndio unafichua madudu mpaka mnayaona yakifichuka leo hii


SIO KWAMBA NI UONGOZI MZURI [HAPO KWENYE RED] BALI KWA SASA MUNGU AMEONA MATESO YA WATANZANIA - AMEAMUA KUWAWEKA WAZI NA KUWEKA WAZI UFISADI WOTE ULIOKUWA UKIFANYWA - WAMEAMUA KUUMBUANA WENYE KWA WENYEWE - YANGEWEKWA WAZI NA CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI - INGESEMWA NI UPINZANI TU...........MAKELELEL............KUTAFUTA UMAARUFU ETC.

LAKINI SASA - WATAWEKANA WAZI - NA NDIO MAOMBI YA WATANZANIA WOTE ...................... HATIMAYE ...WATAJIWEKA PEMBENI NA WASAFI WAENDELEE - TUMECHOKA WATANZANIA NA KUIBIWA ..........KUNYANYASWA...........KUONEWA NA KUUPUZWA
.
ASANTE MUNGU KWA KUWA WEWE NI MWEMA - AMEN
 
Mara nyingine Thread kama hizi mods wanazipeleka kule JF - Chi- Chat.

Hii mbona iko hapa?
 
Kuna network mtaani za kuaminika kuhusu uhusiano wa kikwete na Sitta. Sitta amekubali kumtetea kikwete kwa kupewa hongo na rushwa ya kimaajabu. Ufupi ni kwamba hizi ni taarifa bado za ndani ya ofisi ya raisi na kikosi cha wahuni ccm. The truth is kikwete had failed all leadership tests long time ago and government of ccm is collapsing in our face. Drip drip drip drip!Hata kama kikwete ukibadilisha mawaziri wote, uozo bado upo na tatizo ni kikwete wewe mwenyewe.Habari kubwa zinakuja siku chache from now na stay tune to JF.
All right, huyo Sita alipopewa huyo "Waziri Mkuu" alimfanyia nini? Aliongea naye au alifanya nini hasa? Tufafanulie tafadhali!
 
ccm chama cha watu wasiofikiri kwa kina...............sijisumbui kujua ukweli ama uongo wa hilo, ila najiuliza Je kuna mtu Makini na Mwadilifu ccm
 
Tetesi yako niya kubuni ili wa2 tuchangie mada yako. Sawa ume2pata. NI HIVI haijawah hata siku moja kw historia ya Tz WAZIRI MKUU KUJULIKANA KABLA YA MUDA WA KUTANGAZWA NA RAIS, INAKUWA NI SIRI YA RAIS MWENYEWE!!? Mpaka hapo Sita hawezi hiyo nafasi na Pinda itakuwaje mpaka sasa asijiuzulu maana kama ni kwl hiyo ni kashfa ya kubadi baraza na kama atafanya hivyo basi ni Bora avunje na Bunge. Pole sana
 
Nawashangaa sana! wakati mnaona madudu ambayo yalijificha awamu zote, yanajitokeza katika awamu hji mnaona kuwa ni uongozi mbaya!

I wonder why do you always think in reverse?

Ni dhahiri kwamba uongozi mzuri na usiopenda ufisadi ndio unafichua madudu mpaka mnayaona yakifichuka leo hii.

Wewe sijui unafikiri kwa kutumia nini!
Mnadanganywa kuwa Kufichuka kwa siri zote ni uamuzi wa JK. Yaani kikwete aamue kufichua siri ya EPA ambayo imemwingiza yeye IKULU? Na siyo juhudi za Dr?
Lowasa afichue siri ya Richmonnd immuumbue mwenyewe? Au JK afichue siri za rafiki yake wa enzi hizo? - JAPO urafiki umekufa sasa.
Hivi wewe unalipwa Shilingi ngapi kuja kuandika pumba yako hapo ya kumlinda JK?
Mlinde JK kwa sababu jingine lakini si kwa utendaji.
Jk ni rais,
Mwaka 2005 maaskofu walisema ni chaguo la Mungu kuanzia CATOLIKI, kkkt, na pentekoste.
Mwaka 2010 wakamsusia. Baada ya kuona maji marefu akaanzisha udini ili apate walau kura za waislamu. Je, wajua hilo? Acha pumba.
 
Hayo ni matokeo mazuri Ya Elimu ya Uraia inayotolewa na CDM
Big Up Chadema

Inawezekana ikawa Chadema na pia inawekana kabisa kuna Kiongozi anaesikiliza na anaetaka hayo ya yatokee, Jee, unaweza kukisia ni nani huyo?
 
Wewe sijui unafikiri kwa kutumia nini!
Mnadanganywa kuwa Kufichuka kwa siri zote ni uamuzi wa JK. Yaani kikwete aamue kufichua siri ya EPA ambayo imemwingiza yeye IKULU? Na siyo juhudi za Dr?
Lowasa afichue siri ya Richmonnd immuumbue mwenyewe? Au JK afichue siri za rafiki yake wa enzi hizo? - JAPO urafiki umekufa sasa.
Hivi wewe unalipwa Shilingi ngapi kuja kuandika pumba yako hapo ya kumlinda JK?
Mlinde JK kwa sababu jingine lakini si kwa utendaji.
Jk ni rais,
Mwaka 2005 maaskofu walisema ni chaguo la Mungu kuanzia CATOLIKI, kkkt, na pentekoste.
Mwaka 2010 wakamsusia. Baada ya kuona maji marefu akaanzisha udini ili apate walau kura za waislamu. Je, wajua hilo? Acha pumba.

Nadhani una mawazo ambayo yanaishia mbele ya pua yako. EPA ilikuwa wakati wa Mkapa na ikaibuliwa wakati wa Kikwete, laiti ungejuwa kuwa Mkapa hakutaka wala hakutegemea kuwa Kikwete atachukua u Rais, usingeyasema hayo. Kikwete ndio kaibua EPA na hakustahamili kuona mpaka mawaziri wenye nguvu sana kama Mramba wakifikishwa mahakamani na kuhenyeshwa. Nadhani humjui Kikwete utendaji wake ndio maana unakuwa na fikra fupi sana.

Hilo la Maaskofu nakuachia wewe uamue.
 
Hayawi hayawi sasa yamekua.
Kuna network mtaani za kuaminika kuhusu uhusiano wa kikwete na Sitta. Sitta amekubali kumtetea kikwete kwa kupewa hongo na rushwa ya kimaajabu. Ufupi ni kwamba hizi ni taarifa bado za ndani ya ofisi ya raisi na kikosi cha wahuni ccm.


The truth is kikwete had failed all leadership tests long time ago and government of ccm is collapsing in our face. Drip drip drip drip!
Hata kama kikwete ukibadilisha mawaziri wote, uozo bado upo na tatizo ni kikwete wewe mwenyewe.

Habari kubwa zinakuja siku chache from now na stay tune to JF.
 
Magamba ! magamba! magamba! magamba! magamba!Magamba ! magamba! magamba! magamba! magamba!Magamba ! magamba! magamba! magamba! magamba!Magamba ! magamba! magamba! magamba! magamba!Magamba ! magamba! magamba! magamba! magamba!Magamba ! magamba! magamba! magamba! magamba!Magamba ! magamba! magamba! magamba! magamba!Magamba ! magamba! magamba! magamba! magamba!:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
 
Back
Top Bottom