Kuna tetesi kwamba kuanzia kesho kutakua na uhaba wa petrol na diesel pia luku itapiga chini

Rumishaeli

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
227
72
Wana JF
Kuna tetesi kuwa kuanzia kesho diesel na petrol vitakosekana, nimejaribu kufuatilia miji ya dar na arusha ni kweli jioni hii kuna foleni kwenye vituo vya mafuta, hili litapelekea mitambo ya TANESCO inayotumia mafuta kutozalisha umeme na kama tunavyojua TANESCO wamejiandaa kupiga chini mtandao wa luku ili kupunguza matumizi. Kujiweka sawa hakikisha kama una gari unanunua mafuta leo pamoja na umeme kwa wale wanaotumia LUKU. Mwenye habari zaidi atujulishe.
 
wanazipiga chini kwa staili ipi hizo luku, kwani zina wagharimu nini jamani hawa kilonesco!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom