mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Mi nimemaliza kidato cha sita na nime jaribu kuregister kwa kujaza kila kinachohitajika katika page ua CAS lakini napata error ambayo inasema your A level index number is not in our records je kuna tatizo gani ?