kuna tatizo gani TCU?

Sultan_mdosse

Senior Member
Nov 24, 2013
145
15
Asubuhi niliingia kwenye CAS nikaambiwa nimechaguliwa moja ya programs nilizoomba as hivi nimeingia nimeambiwa niombe tena tatizo nn?? Nimeuliza wengine wana tatizo km langu,msaada Tafadhali.
 
angalia vizuri kwenye yale majina ya wanaotakiwa kufanya 2nd round, kama haumo wafate watakusaidia
 
TCU wanakeraga sana yaani.kuna watu wako maeneo ambayo ata internet shida,sasa hii ya kusumbua watu hivi si watakosesha wengine haki ya msingi ya elimu..
 
je unajuaje kama umechaguliwa katika program ulizoomba!! Je kunasehemu inakuonesha ktk profile yako??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom