Kuna tatizo gani mtandao wa Vodacom jamani??

Facilitator

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,280
1,763
Wakuu,

Ni siku ya tatu leo huu mtandao haueleweki kbs. Nimekuwa najaribu kupiga simu zaidi ya mara 6 ndio nimpate ninayemhitaji. Msg za juzi ndo zina deliver leo. Hebu tusaidiane wananchi wenzangu
, nini tatizo??
 
Ni namba moja tu unapiga au inakuwa na hilo tatizo au ni namba nyingi? Je watumiaji wengine pembeni yako wanakutana na tatizo hilo, na uko wapi?
 
Ni namba moja tu unapiga au inakuwa na hilo tatizo au ni namba nyingi? Je watumiaji wengine pembeni yako wanakutana na tatizo hilo, na uko wapi?

Kila namba ninayopiga tatizo ni hilohilo, na kila mtumiaji wa huu mtandao analalamika tatizo hili
 
Mkuu, toa maelezo sahihi ya sehemu uliopo, acha propaganda. Hakuna kitu kama hicho. "No research no right to speak". Cheki simu yako, cheki watumiaji wengine, check everthing before hujasema tu. haiwezekani sms zikawe delivered baada ya siku tatu. Ungekuta kila mtu anapiga kelele.
 
Back
Top Bottom