Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali?

Naomba unieleze mambo yafuatayo kwann yanatokea wakati mtu amelala chalii tu

vi. Mtu akifa analazwa chali.

/QUOTE]Ninakujibu mimi moja tu hayo mengine utajibiwa na ndugu Pasco na ndugu Rakims Mtu anapokufa ki-Dini ya Kiislam huwa halazwi chali analazwa ubavu wa kulia.............Angalia picha hapo chini....

The positioning of the bodies, facing towards Mecca, suggests a Muslim graveyard. Photo: Victor López Menchero

chanzo.
http://www.thelocal.es/20140813/1000-year-old-islamic-necropolis-ciudad-real

Usiwe Na Shaka Mkuu MziziMkavu Najiandaa Kushare Uelewa Hapa Najifikiria Kuandisha Hizo Beti Maana Mistari Miwili Hapa Haitoshi...

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Mimi Niseme Hivi:
Wakati Mtu Uote Ndoto Mbaya Ni Pale Ambapo Unakuwa Umeover Dose Mwili Wako Au Kauli Ya Kueleweka Unaushughulisha Mwili Wako Hali Ya Kuwa Ni Muda Wa Kulala Lazima Utakutana Na Vitu Kama hivi:

1:Kumwaga machozi hovyo

2:Udenda,

3:Kuongea hovyo usingizini

4: kunigwa na jinamizi

5: kuweweseka usingizini

6: kuamka na kutembea hali ya kuwa umelala

7: kukimbizwa na watu

8: kudumbukia Shimoni

9: kumwaga mbegu na tupu kuuma sana wakati wa kumwaga

10: Kuota Ndoto Mbaya...

Haya Husababishwa na mambo yafuatayo..

1: kulala kama shetani bila kujua mungu yupo..

2: kula chakula kingi muda wa kulala saa nne usiku na kuendelea..

3: mazingira ya kulala

4: mtindo wa kulala... au pozi...

Hapa Mnachokiandama nyinyi ni mtindo wa kulala na mmelenga mtindo mmoja tu basi na mimi nitaqafungukia kwenye mtindo huo huo...

kwanza kabisa kuna kulala chali kwa aina zaidi ya sita

1: kulala chali huku makwapa yapo juu (mbaya)

2: kulala chali mikono kifuani (mbaya)

3: kulala chali mikono kwenye uchi (mbaya)

4: kulala chali shingoni upande (mbaya)

5: kulala chali miguu umekunja (mbaya)

6: kulala chali huku mikono imenyooka sahihi (nzuri)

isipokuwa nayo ukikosa position ya kichwa sio nzuri...

mfano: mto mkubwa (utaota jinamizi) na mto mdogo wa kubinua kichwa (utaota unakimbizwa)

mto straight ndoto njema, astral projection,lucid dreams na kujikinga na maumivu ya mgongo......

unapolala chali damu inapita kila kona ya mwili na unapojikunja inakwama...

mfano hapo ulipoangalia juu utahisi tofauti angalia kifua chako utahisi unakabwa sasa pindi unapojikaba utakereka kama unanigwa ambayo hupelekea ubongo kukuletea ndoto ya jinamizi
na sidhani kama kuna mtu alishawahi kutoka kwenye ndoto ya jinamizi akaendelea kulala chali.... vile vile mf: chakula kikizidi tumboni na kinahitajika kusagwa utaota unadondoka,kimbizwa,simba n.k mradi tu mwili usage kwanza ile chakula...

kuna mwenye swali labda?
 
Attachments

  • 1423909404618.jpg
    1423909404618.jpg
    8.2 KB · Views: 751
  • 1423909446537.jpg
    1423909446537.jpg
    13.4 KB · Views: 766
  • 1423909484076.jpg
    1423909484076.jpg
    10 KB · Views: 731
  • 1423909513560.jpg
    1423909513560.jpg
    5.6 KB · Views: 1,386
Hiyo ni mbinu watumiamiyo magineous wengi kwani uwaweka karibu na upeo wa juu sana.
Mara nyingi wenye akili nyingi utumia mfumo wa kulala chali kusolve diffucult problems na kuondoa stress.
Wengi wetu tunamalizia meditation palipo na utupu either horizontal au vertically mfano ufukweni au kutazama nyota nyakati za usiku.
 
In short, kutokana na hali ya utulivu katika mwili, utokanao na kulala chali, inapelekea your spirit to be active than your fresh, halii inakupelekea kuingia kwenye ulimwengu wa roho, unapo ingia kwenye ulimwengu wa roho huku ukiwa hauna nguvu za kiroho matokeo yake ndio kukimbizwa na wanyama au hatahata kupambana na roho chafu zinazo lingana nguvu na wewe.

Kumbuka kila mnyama ana maana yake unapo muona katika roho. Kwa kuongeza kuna baadhi ya vyakula ukila roho yako inakua active, na baadhi ya milalo inawe kukusaidia kua active katika roho. Na kuna namna ya kujua matukio yanayo endelea katika eneo ulilopo. Kuna mengi sana, hapa natumia simu napata tabu kuandika

Upo vizur kaka big up kwako
 
Asante Rakims kwa kitu kipya kwa ufahamu wangu
Mimi Niseme Hivi:
Wakati Mtu Uote Ndoto Mbaya Ni Pale Ambapo Unakuwa Umeover Dose Mwili Wako Au Kauli Ya Kueleweka Unaushughulisha Mwili Wako Hali Ya Kuwa Ni Muda Wa Kulala Lazima Utakutana Na Vitu Kama hivi:

1:Kumwaga machozi hovyo

2:Udenda,

3:Kuongea hovyo usingizini

4: kunigwa na jinamizi

5: kuweweseka usingizini

6: kuamka na kutembea hali ya kuwa umelala

7: kukimbizwa na watu

8: kudumbukia Shimoni

9: kumwaga mbegu na tupu kuuma sana wakati wa kumwaga

10: Kuota Ndoto Mbaya...

Haya Husababishwa na mambo yafuatayo..

1: kulala kama shetani bila kujua mungu yupo..

2: kula chakula kingi muda wa kulala saa nne usiku na kuendelea..

3: mazingira ya kulala

4: mtindo wa kulala... au pozi...

Hapa Mnachokiandama nyinyi ni mtindo wa kulala na mmelenga mtindo mmoja tu basi na mimi nitaqafungukia kwenye mtindo huo huo...

kwanza kabisa kuna kulala chali kwa aina zaidi ya sita

1: kulala chali huku makwapa yapo juu (mbaya)

2: kulala chali mikono kifuani (mbaya)

3: kulala chali mikono kwenye uchi (mbaya)

4: kulala chali shingoni upande (mbaya)

5: kulala chali miguu umekunja (mbaya)

6: kulala chali huku mikono imenyooka sahihi (nzuri)

isipokuwa nayo ukikosa position ya kichwa sio nzuri...

mfano: mto mkubwa (utaota jinamizi) na mto mdogo wa kubinua kichwa (utaota unakimbizwa)

mto straight ndoto njema, astral projection,lucid dreams na kujikinga na maumivu ya mgongo......

unapolala chali damu inapita kila kona ya mwili na unapojikunja inakwama...

mfano hapo ulipoangalia juu utahisi tofauti angalia kifua chako utahisi unakabwa sasa pindi unapojikaba utakereka kama unanigwa ambayo hupelekea ubongo kukuletea ndoto ya jinamizi
na sidhani kama kuna mtu alishawahi kutoka kwenye ndoto ya jinamizi akaendelea kulala chali.... vile vile mf: chakula kikizidi tumboni na kinahitajika kusagwa utaota unadondoka,kimbizwa,simba n.k mradi tu mwili usage kwanza ile chakula...

kuna mwenye swali labda?
 
Last edited by a moderator:
Mimi Niseme Hivi:
Wakati Mtu Uote Ndoto Mbaya Ni Pale Ambapo Unakuwa Umeover Dose Mwili Wako Au Kauli Ya Kueleweka Unaushughulisha Mwili Wako Hali Ya Kuwa Ni Muda Wa Kulala Lazima Utakutana Na Vitu Kama hivi:

1:Kumwaga machozi hovyo

2:Udenda,

3:Kuongea hovyo usingizini

4: kunigwa na jinamizi

5: kuweweseka usingizini

6: kuamka na kutembea hali ya kuwa umelala

7: kukimbizwa na watu

8: kudumbukia Shimoni

9: kumwaga mbegu na tupu kuuma sana wakati wa kumwaga

10: Kuota Ndoto Mbaya...

Haya Husababishwa na mambo yafuatayo..

1: kulala kama shetani bila kujua mungu yupo..

2: kula chakula kingi muda wa kulala saa nne usiku na kuendelea..

3: mazingira ya kulala

4: mtindo wa kulala... au pozi...

Hapa Mnachokiandama nyinyi ni mtindo wa kulala na mmelenga mtindo mmoja tu basi na mimi nitaqafungukia kwenye mtindo huo huo...

kwanza kabisa kuna kulala chali kwa aina zaidi ya sita

1: kulala chali huku makwapa yapo juu (mbaya)

2: kulala chali mikono kifuani (mbaya)

3: kulala chali mikono kwenye uchi (mbaya)

4: kulala chali shingoni upande (mbaya)

5: kulala chali miguu umekunja (mbaya)

6: kulala chali huku mikono imenyooka sahihi (nzuri)

isipokuwa nayo ukikosa position ya kichwa sio nzuri...

mfano: mto mkubwa (utaota jinamizi) na mto mdogo wa kubinua kichwa (utaota unakimbizwa)

mto straight ndoto njema, astral projection,lucid dreams na kujikinga na maumivu ya mgongo......

unapolala chali damu inapita kila kona ya mwili na unapojikunja inakwama...

mfano hapo ulipoangalia juu utahisi tofauti angalia kifua chako utahisi unakabwa sasa pindi unapojikaba utakereka kama unanigwa ambayo hupelekea ubongo kukuletea ndoto ya jinamizi
na sidhani kama kuna mtu alishawahi kutoka kwenye ndoto ya jinamizi akaendelea kulala chali.... vile vile mf: chakula kikizidi tumboni na kinahitajika kusagwa utaota unadondoka,kimbizwa,simba n.k mradi tu mwili usage kwanza ile chakula...

kuna mwenye swali labda?

Ok ila mkuu hapo umesema namna ya kulala vibaya kunavoweza kuleta matatizo lsko husema ni nini ktu anatakiwa afanye au alaleje kwa usahihi
 
rakims kuna ndoto umeziongelea hapo huwa naziota na zinajirudia hadi nkajua wachawi wanataka kula kichwa.
 
Back
Top Bottom