Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali?

Mimi Huwa naota nafanya mapenzi na msichana na nikiamka nakuta nimeshachafua shuka huwa naboreka sana
 
Hii hali nilidhan mm pekee maana hata sithubutu kulala chali kuogopa ndoto za kutisha
Mimi nisipo lala chali usingizi hauji kabisa sema huwa sioti ndoto cjui za kukabwa ila huwa naota nagegeda manzi mpaka napiga bao
 
Yaan mfano kuna kipindi usiku lazima nihangaikee kama kunyanyuliwa juu,mwili unanisisimkaa,,halaf nakua najijiua kabisaa ila nguvu sasaa ya kuongea sina nabaki naongea kimoyomoyoo,hawa wachawi hawaa mfyuuu
Lakini tukilala wawili wala sihangaikii nalala freshi
Kwanini usiolewe ili uwe unalala fresh...
Eti binti
 
Mimi nisipo lala chali usingizi hauji kabisa sema huwa sioti ndoto cjui za kukabwa ila huwa naota nagegeda manzi mpaka napiga bao

Haaaaahaaaaah hiyo hataree, huwa unalala na mawazo ya kingono kudadadeki.
 
kiukweli unatakiwa kwenda kwa mtaalam kuangalia nyota yako labda nyota yako unapendwa xana na majinina pia hata kama ukiwa ulizaliwa njiti ujue wewe ni mtu muhimu xana katika dawa za majini wanazotumia hata huwa wanaongezewa cheo huko walipo
Haya sasa secretary wa majini katoa jibu
 
Mi mwenyewe nikilala chali hua ni matatizoooo naota napaishwaa juu naanza kusali kimoyo moyo,ila nikilala na mtu nalala vizuri tu nikiwa peke yangu ni vuluvulu siku nyingineee
Si useme tu ukilala na mimi??
 
Umefunga mjadala mkuu. Hii ndo kweli Kabsa
mkuu Bujibuji, hili suala la kulala chali lina scientific explanation.

ngoja nijikumbushe ka-biolojia kangu mbuzi ka mwaka 47.

1) binadamu tunapumua kwa msaada wa mapigo ya moyo (heartbeats). kupumua ni kuingiza hewa safi na kutoa ile chafu kupitia pua na/au mdomo

2) wakati huo huo, nje ya mwili kuna mgandamizo (atmospheric pressure) dhidi ya miili yetu

3) pia kuna nguvu ya kutoka juu kuja chini (gravitational force) ambayo pia ina-act dhidi ya miili yetu

4) tutambue kuwa mtu unapolala usingizi mapigo yako ya moyo (heartbeats) hupungua na kusababisha msukumo wa kupumua kupungua pia

5)kwa hiyo ukilala chali maana yake ni nini?
  • utakuwa umelala ukiwa ume-face uzito wote unaotokana na atmospheric pressure & gravitational force
  • kwa vile uwezo wako wa kupumua umepungua, utaanza ku-feel suffocation
  • kwa vile upo usingizini, utaanza ku-struggle dhidi ya suffocation na kupelekea kuanza kuota ndoto za kupambana na "wabaya" wako (wengine wanaita jinamizi, etc)

in a nutshell, hakuna kitu kinachoitwa jinamizi au kujiwa na wachawi ukiwa usingizini. yote hayo husababishwa na dynamics za heartbeats vs external forces nilizozitaja hapo juu.
 
In short, kutokana na hali ya utulivu katika mwili, utokanao na kulala chali, inapelekea your spirit to be active than your fresh, halii inakupelekea kuingia kwenye ulimwengu wa roho, unapo ingia kwenye ulimwengu wa roho huku ukiwa hauna nguvu za kiroho matokeo yake ndio kukimbizwa na wanyama au hatahata kupambana na roho chafu zinazo lingana nguvu na wewe.

Kumbuka kila mnyama ana maana yake unapo muona katika roho. Kwa kuongeza kuna baadhi ya vyakula ukila roho yako inakua active, na baadhi ya milalo inawe kukusaidia kua active katika roho. Na kuna namna ya kujua matukio yanayo endelea katika eneo ulilopo. Kuna mengi sana, hapa natumia simu napata tabu kuandika
Dah noma sana..
 
mie huenda kwangu ikawa tofauti kwani ulalaji wangu nili urithi kwa marehemu mzee wangu,ambae alikuwa kabla ya kulala lazma atie udhu then analala chali huku mikono akiwa kama amefunga sala now ni mwaka wa 15 toka nimejizoesha hivyo
 
Back
Top Bottom