Kuna siri gani kati ya Eunice Chiume na bosi mpya NSSF, Godius Kahyarara

Naiona nia ovu kwenye yote yanayofanyika nssf, why only nssf??? Mbona mashirika mengine hayaguswi? Tanesco, pspf, ppf, lapf ni mashirika yenye udini kuliko nssf! Kwakuwa wamejazana wala nguruwe hayaguswi ! Anway let us wait and see
Mkuu punguza hasira
 
Mbona tusisamehehane tu kuwe na maridhiano tuanze upya. Hailet mantik yeyote kabisa kutumbua kundi flan na wengine kukwepwa na hii imejidhihirisha waz kwenye Lugum, UDOM Flow mitre na kadhalika. Huu mchezo hauitaj hasira bali hekima na utu.
Double standard ndio biggest problem kwa awamu hii!
Wanaset standard high ambapo hawawezi hata wao wenyewe kufikia!
Kitu cha ajabu ni watu kukosa aibu! Leo wanasema kitu A, na kesho wanakikana au wanafanya tofauti with the same tone na energy!
 
pic+city+surbus.jpg


Bodi mpya ya NSSF imeridhia maombi toka kwa Bosi mpya wa NSSF kuwa wakurugenzi na mameneja wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma mabali mbali.

Lakini cha ajabu wakati wameneja na wakurugenzi wamesimamishwa kuna huyu mwana mama (EUNICE CHIUME) ambaye ni Meneja Kiongozi ambaye alikuwemo kwenye kamati zote za manunuzi na kamati zilizokuwa zikikaa kupitisha miradi mikubwa amebakishwa na anaendelea na kazi

Hii ina maana kuwa huyu Mkurugenzi mpya wa NSSF amekuwa compromised au kapigwa presha toka kwa wazazi wake huyu binti ambao ni wazito sana kwenye serikali ya Magufuli?

Hivi inaingia akilini kuwa tenda board ya watu 8 ilipitisha mambo tena kwa kutia saini lakini wakati wa hukumu wahukumiwe watu 7? Hii inaingia akilini kweli? Kuna siri gani au instructions zimetolewa kuwa huyu mama asiguswe?

Credibility ya huyu mkurugenzi na board mpya ishaanza kuwa questionable.
Usiwe na upesi, kazi ndio inaanza!
 
Kuna task force imeundwa kufichua wafanyakazi wa NSSF wanaomsema vibaya Eunice na Bosi
sasa hivi vitisho mpaka lini?
 
Mbona tusisamehehane tu kuwe na maridhiano tuanze upya. Hailet mantik yeyote kabisa kutumbua kundi flan na wengine kukwepwa na hii imejidhihirisha waz kwenye Lugum, UDOM Flow mitre na kadhalika. Huu mchezo hauitaj hasira bali hekima na utu.

Point yako makes a lot of sense
 
Back
Top Bottom