Kuna sheria tofauti katika kuhukumu kesi ya uchochezi

Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO
Ndugu mahakamani unaletwa unasomewa mashitaka yako etc hakuna kusema mim oohh sijui mbona yule mumemuachia na blah blah blah kibao cha msingi ni polisi wanaandaa charge sheet kama haina legal basis basi mtu anaachiwa yani haina vigezo kisheria kumfanya mtu awe hatiani or whatever sasa...haya mambo ya kuleta itikadi za vyama en etc watz inabidi tuache...
 
Back
Top Bottom