Kuna raha ya aina yake kama mke na mume ni wacha mungu

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Napenda kuwafahamisha kwamba kuna raha yake kama wanandoa wakiwa wote wa wili ni wacha Mungu.Jaribuni muone kumcha Mungu na baraka tele zitafunika maisha yenu yote na watoto wenu watabarikiwa kama Ibrahimu alivyo baba wa Baraka
 
Uwe kwenye ndoa au nje ya ndoa hakuna kitu kizuri kama kumcha Mungu na kujua hakuna upendo uzidio ule wa Mungu kwetu.
 
mie sio mcha mungu,ila natafuta mume mcha mungu...lol

Mungu atakupa wa kufanana nawe...itakuwa ni taabu kuwa na mke asiyemcha Mungu kwa mwanaume anayemcha Mungu.

Kuna baraka tele kwenye kumcha Mungu,kuna upendo,kuna amani,kuna tumaini na zaidi kuna uvumilivu na heshima....Kumcha Mungu ndio chanzo cha maarifa....chagua lililo jema,maisha yetu ni mafupi sana!
 
tahts true na ndo mana ndani ya ndoa mmoja akianza mambo ya kishenzi tu basiii baraka zote zinapotea,mnaanza kuwa na maisha yasoeleweka
 
Lakini asipitilize akawa masaa yote anashinda huko anako mcha mungu hadi akamboa mwenzake, na ukimwambia fanya hivi anaweza kusema oooh felicio mungu hataki. Awe anamjua mungu lakini asipitilize huko kwa mungu...
 
Lakini asipitilize akawa masaa yote anashinda huko anako mcha mungu hadi akamboa mwenzake, na ukimwambia fanya hivi anaweza kusema oooh felicio mungu hataki. Awe anamjua mungu lakini asipitilize huko kwa mungu...

Kumcha Mungu ni ritual/ibada ya maisha ya kila siku, so u don't need to go s/where to mcha Mungu. Kujali, kujituma, kusikiliza etc kifupi ni kumpenda Mungu wako kuliko chochote, na kumpenda mwenzio kama nafsi yako. Sasa imagine two of u love each other as thyselfs; raha iliyoje?
 
That is a true statement,i support you lkn wasivae ngozi ya kondoo yaani mwili na roho no relationship,hapo hata ungepiga gospel ni sawa na mbengu ikiwa juu ya mwamba.
 
ni kweli inapendeza lakini no kuzidisha.Mungu anakubariki for your faith,mambo ya kukesha church,vikundi vya wakinamama hapana..siku hizi kuna wachungaji na wazee wa kanisa viwembe
 
mie sio mcha mungu,ila natafuta mume mcha mungu...lol
,
Neema, pole kwa utafuta maembe katikati ya pori, hata ukipata litakuwa ni embe ng'ong'o, njoo kwa yesu, muachie kazi hiyo yakutaka mume mcha Mungu yeye akiingia moyoni mwako, atakubadilisha na kukupa Mume atakaye kaa na ww muda woe akikufariji na kukulea mpaka uone kama mpo paradise ndogo hapa duniani, lkn kama ukikataa nakusubiri samaki mbali na bahari utapata aliye oza mamangu utamlilia nani atakapokuletea mag'''''''wa nymbani?
''Njooni kwangu wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha, kwani mm ni mple na mwingu wa huruma'' hayo ni mam=neno yake mwokozi wetu Yesu Kristo, njoo kwake utapata mume mwema na ww utafurahia kuwa na mume wako peke yako.
 
Raha kama mimi, wife dini nyingi na mimi ni moderate muslim.

Msikitini nipo na disco nipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom