Kuna nini UPIMAJI H I V vituo vya afya vya serikali?

Emmanuel_mtui

Member
Apr 10, 2012
56
13
Leo ni zaidi ya wiki sasa watu wanaenda kucheck afya ktk vituo hivi na kukutana na maelezo hatupimi tumeishiwa dawa, nilikuwa nasikia habari hii kwa muda ila leo nimethibitsha mwenyewe baada ya kwenda kituo cha afya tabata na kukutana na maelezo hayo , Je kwa hali hii Tanzania bila ukimwi inawezekana?
 
serikali haina pesa ziko kwenye mifuko ya mafisadi

fanya mpango uende india
 
serikali haina pesa ziko kwenye mifuko ya mafisadi

fanya mpango uende india

sasa ndugu yangu kwani kwenda india we umeon issue,? Issue je wa tz na afya bora vipi, kwani baada tu ya kituo cha afya tbt kuna hospial moja inaitwaMADONA, walilihudumia vizuru ingawa gharama kubwa nawapa big up, WASIO NA UWEZO JE?;(;(
 
Leo ni zaidi ya wiki sasa watu wanaenda kucheck afya ktk vituo hivi na kukutana na maelezo hatupimi tumeishiwa dawa, nilikuwa nasikia habari hii kwa muda ila leo nimethibitsha mwenyewe baada ya kwenda kituo cha afya tabata na kukutana na maelezo hayo , Je kwa hali hii Tanzania bila ukimwi inawezekana?

Hongera kwa kua HIV negative. Am sure ungekua positive hata kufungua hii post kungekushinda labda baada ya masiku kupita.
Hilo ssssssssssuala unalosema ni kweli, hata mie ishawahi nikuta....Nilisikia na wala sijathibitisha vipimiaji viligundulika ni feki. Ilibidi virudishwe hukohuko
Tetesi zaidi ni kua kama ni kweli basi majibu ya HIV ya wadanganyika wengi waliopima siku za nyuma ni ya kizushi. Ikimaanisha yaezekana mtu kapima kaambiwa + kumbe ni - and vice versa.

Mwenye uhakika amwage data mi nimesikia tu mambo ya kizushi kama hayo
 
Back
Top Bottom