Hapana jamani tufike wakati tuseme tumechoka
hivi nini nyuma ya pazia kwa nin i tpdc isiwezeshwe jamani kuagiza mafuta
raisi kikwete kuna nini na wewe unahusika humo embu tusaidie ??
Tumezidi utani katika mambo yetu mengi ya msingi na hii inatugharimu sana kama nchi, inawezekanaje jambo muhimu kama hili kuamuliwa na bila kuwekewa mikakati ya utekelezaji?Maamuzi kuiruhusu kushiriki yalipitishwa lakini nasikia hakuna hata senti moja waliyopewa kufanikisha hilo.