Kuna nini nyuma ya makampuni ya mabasi yanayoibuka kila kukicha? Au ndo kodi zetu?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Nipo hapa stand ya mabasi uaendayo mikoani (Dodoma) naona kuna mabasi mengine majina ya mabasi hayo kama majina ya vigogo flani tena yanafuatana kama 3 hadi 4 ya kampuni moja yakienda safari moja.

Zaidi kuna mengine abiria wapo nusu ila linapiga mzigo kama kawa.

Najiuliza ni ya kina nani? Mbona yako mengi na kila siku tunaona mabasi mapya then tunasema maisha magumu na raia hatuna kitu.

Mbona reli ya kati imezikwa na serikali hasikiki juu ya hili na Magufuli alitengewa bajeti hewa na kubwa kwenye barabara na reli ikaambulia patupu?

Naomba as Great Thinker tufikiri juu ya hili
 
Taja makampuni hayo, ili bayana uweze kupewa majibu kamili.
 
Usituthibitishie unaweza kuwa kilaza namna hiyo,,ikiwa upo stand ulipaswa kuyataja majina ya mabasi hayo(unayosema yana majina "kama ya vigogo") mjadala ukawa mpana wwenye kuleta manufaa
 
Back
Top Bottom