Kuna nini kwenye hili jicho?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakuu jicho langu la kushoto nashindwa kulielewa kama tujuavyo machoni particle nyingi kama wadudu na vumbi/mchanga huingia acidentally na kutolewa ila jicho langu la kushoto kuna kipindi liliingia hivi viparticle nikatoa ila siku moja moja huwa kila nnapotazama na kuchezesha kope nahisi jichoni kuna kama kiparticle nikijaribu cheki sioni chochote lakini bado naendelea hisi hivyo je hii itakuwa nini tatizo?
 
Kweli mkuu usizembee mwone docter wa ukweli usijelipoteza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom