Kuna nini kimejificha ndani ya vuguvugu la haya yanayotokea?

dguyana

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
423
110
Wana Jf,

Hapa nataka kujaribu kuunganisha dots zangu kwa matukio yafuatayo:-

1. Mapambano ya Lowasa kama alivyoahidi? - Maana ukichukulia watu wake wa karibu ndio hao wanahamia CDM na yeye yupo kimyaaaaa. Na hasa tutegee nini kutoka kwa huyu mheshimiwa au bado anapima upepo?

2. Hukumu ya Lema? - Au ni ile hukumu mbovu ndio imachanganya watu ukichanganya na maombi ya Lema?

3. Ripoti ya CAG na Kamati za bunge? - Ila hili ndio limekaa katika kiungio ya haya yote.

4. Ushindi wa dogo janja pamoja na kujulikana kwa nia ya Kanumba(R.I.P) kutaka kugombea ubunge SHY kabla ya kifo? Je kumeamsha vijana?

My Take: Kuna kitu nyuma ya vuguvugu hili ambacho mi sikijui labda mwenzangu unaweza kupembua.
 
Mimi nadhani yale Matusi ya Lusinde yamewafanya watu wengi wajisikie kichefuchefu kuitwa wana CCM. Hivi unajisikiaje unapokuwa na Mtoto aitwaye X ambaye ni shoga na wewe ulizoeleka kuitwa Baba X, utatamani ubadirishe usiwe mzazi wake lakini haitawezekana lakini kubadilisha jina Mwana CCM na kuitwa mwanaCHADEMA inawezekana
 
Msitafute mchawi (Wala si Lowasa) nchi imeoza balaa hakuna usimamizi thabiti wa raslimali kutokana na utendaji wa hovyohovyo wa nchi hivyo nidhamu lazima ilejeshwe.
 
Kwa lowasa linakuja tu pale mtu wake wa karibu (Milya) tunaona ndio huyo kama CDM
 
Wana Jf,

Hapa nataka kujaribu kuunganisha dots zangu kwa matukio yafuatayo:-

1. Mapambano ya Lowasa kama alivyoahidi? - Maana ukichukulia watu wake wa karibu ndio hao wanahamia CDM na yeye yupo kimyaaaaa. Na hasa tutegee nini kutoka kwa huyu mheshimiwa au bado anapima upepo?

2. Hukumu ya Lema? - Au ni ile hukumu mbovu ndio imachanganya watu ukichanganya na maombi ya Lema?

3. Ripoti ya CAG na Kamati za bunge? - Ila hili ndio limekaa katika kiungio ya haya yote.

4. Ushindi wa dogo janja pamoja na kujulikana kwa nia ya Kanumba(R.I.P) kutaka kugombea ubunge SHY kabla ya kifo? Je kumeamsha vijana?

My Take: Kuna kitu nyuma ya vuguvugu hili ambacho mi sikijui labda mwenzangu unaweza kupembua.

Comrade vuguvgu lilo nyuma ni "vuguvugu la mabadiriko" MOVEMENT FOR CHANGE
 
Ni matokeo ya uchaguzi wa Arumeru. Hiyo ya bungeni imekuja wakati watu walishaanza migration. Ya Kanumba haichangii sana, kwani haijasambaa kwa kiasi kile. EL hahusiki, labda kwa hao madiwani wa Monduli iwapo kesho kweli watahama!
 
hili la monduli kesho lipo confirmed kuna jamaa yangu kanitonya ndio maana nina wasiwasi wa EL kuhusika.
 
Yote tisa. Kubwa kuliko yote ni kuwa mkono wa Mungu uko juu ya Watanzania kwaajili ya ukombozi wao na wa nchi yao. Asomaye na afahamu
na ndio hapahapa pa kukamatia ukomboz na harakati zitimie peoples. Tatizo letu owoga ila watz kumbuken kuna watu wameshajitoa kwa ajili yetu. Wameweka roho rehan tuwape support jama.
 
nadhani kuna muunganiko wa mengi ambayo tulio wengi hatujui kwa nini yatokee ktk nchi yetu ambayo zamani ilikuwa ya kujivunia, uongozi ni dhaifu nadhani toka nchi hii ipate uhuru haujapata tokea, maana yanayofumbiwa macho hata wananchi wanashangaa kama kuna viongozi wenye sifa ya kuitwa viongozi. wizi wa wazi,wa ajabu unatazamwa kama kitu cha kawaida ni ajabu ambayo haijapata tokea: wanyama kuibwa mchana kweupe, rushwa za wazi, mikataba ya hovyo kabisa, matumizi mabaya ya madaraka ya wazi kabisa, wizara kutumia hela zilizo nje ya bajeti bila kukemewa, matusi hadharani kwa viongozi wa wananchi, na mengine mengi ambayo nia aibu kwa serikali. cha ajabu kimyaaaa kama vile mambo yapo shwari, ni kuruka tu nchi moja baada ya nyingine huku wananchi wanataabika!! tumefika mwisho yanayotokea ni haki tu mradi tu tushikamane.
 
thLOL.gif

CCM inaendelea kuwachokoza Watanzania lakini kuna siku hata mnyonge hukosa uvumilivu na kuamua kujitutumua!
Bonyeza hiyo picha!

Ni hatari kudharau watu ambao kimsingi pamoja na unyonge wao ndio waajiri wako. Uongozi wa Taifa letu kwa sasa ulifika mahali umedharau waajiri wake. Maamuzi, mtazamo, utekelezaji, dhihaka juu ya mali na raslimali zao ilhali wao wakiogelea katika ukwasi usioelezeka ni kufuru sio kwa Mungu tu bali hata maskini waliowapa nafasi ya kuwatumikia. Kwa kuwa hakuna njia rahisi, wanyonge wameona njia ni kujiunga na adui wa adui yako ili kumlipua adui kwa nguvu moja. Nyuma ya vuguvugu ni hitaji la HAKI, HAKI NA TENA HAKI kwa maskini na wahangaikaji wa taifa hili.
 
na hili la rais kupokea ripot ya CAG na kuiweka kabatini pia ni dharau kubwa. Mi nilitegemea yeye ndio angekuwa wa kwanza kutake action sasa wanaochukua mkazo ni upinzani kama vile ndio wenye dola.
 
Back
Top Bottom