Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

Kila mara naangalia vyombo vyetu vya habari lakini napatwa na maswali mengi juu ya ITV/Radio One, kampuni hii naweza kusema inaongoza kwa kuhamwa na wafanya kazi wake, sijui tatizo ni nini hebu angalia mfano
Regina Mwalekwa from ITV/Radio one to Clouds int.
Miradi Ayo kaenda clouds
Sebo kaenda channel ten
Salum mkambala juzi tu namwona channel ten
Janet Mwena kwenda clouds
Abdul Mohamed kwenda clouds
Musa wa 'mtaani kwetu'eatv kwenda clouds
Sasa sifahamu tatizo ni nini? Au clouds ni tawi la itv? Au itv hawalipi vizuri au mazingira ya kazi ITV hayapo sawa? Naomba mnijulishe wadau





Sent from Yahoo! Mail on Android

Mbona huko Clouds nako hutaji walioondoka?
1. ML Chris
2. Ray C
3. Lady Jaydee
4. Finna Mango
5. Gadna G Habash
6. Sebastian Ndege
7. Taji Liundi
8. Seven
 
Sehemu yoyote ukiona turnover ya wafanyakazi ni kubwa kuna mawili.
1- Wanawatrain wafanyakazi wao kwa hali ya juu sana, kiasi kwamba wanakuwa hot cake kwenye soko. Wakati mwingine wanakuwa head-hunted.

2- hawalipwi vizuri ama mazingira ya kazi hayaridhishi (kwa usalama, integrity, comfortability na hata respect)

Ya kwanza inaweza kuwa sahihi kabisa. Ukiachilia kwenda TBC, Clouds, Channel Ten na na vyombo vingine vya habari vya ndani ya nchi, ITV/Redio 1 wametoa wafanyakazi wengi kiasi chake kwenda BBC, DW na kadhalika. Hapa naongelea akina Flora Nducha, Salim Kikeke, Marehemu John Ngahyoma, Abdallah Majura na Faudhiyat Abood, Suzanne Mungi waliokuwa/wako majuu. Ila sijasikia mtu katoka Clouds FM kwenda majuu kutangaza. You know why! Msiniulize

 
Sehemu yoyote ukiona turnover ya wafanyakazi ni kubwa kuna mawili.
1- Wanawatrain wafanyakazi wao kwa hali ya juu sana, kiasi kwamba wanakuwa hot cake kwenye soko. Wakati mwingine wanakuwa head-hunted.

2- hawalipwi vizuri ama mazingira ya kazi hayaridhishi (kwa usalama, integrity, comfortability na hata respect)

Na saa zingine yaweza kuwa yote mawili King'asti kama mfano wa Geita Gold Mine!
 
Mkurugenzi wa Radio One inasemekana hana elimu, nasikia kaishia STD 7 na elimu nyingine ni ya kujiendeleza tu...nasikia hata ngeli inampiga chenga yaani hawezi kabisaaaa.Kilichompa kazi kwa mara ya kwanza ni uzuri wa sauti yake ambayo inavutia kuisikiliza...
Pili nasikia ni mtu wa majungu sana, haoni shida kumchomea mtu kwa mama(Mhaville)...na hicho ndio kilichompelekea akapandishwa cheo kutoka utangazaji wa michezo, habari na sasa Ukurugenzi.

Kwa upande mwingine ni kiburi cha mama, pia inasemekana huwa hababaishwi na mtu...ikitokea amekuchukia kwa salama yako ni bora ufungashe tu virago maana itakuwa inakula pande yako sana.

Mbweno?

image028.jpg
 
employee turn over is everywhere in the world, Not only ITV & RADIO ONE.We may discuss the reasons and its turn over ratio ......
 
Back
Top Bottom