Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna nini hapo ITV/Radio one? Mbona watangazaji wanahama sana?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwenyenguvu, Sep 5, 2012.

 1. m

  mwenyenguvu JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Kila mara naangalia vyombo vyetu vya habari lakini napatwa na maswali mengi juu ya ITV/Radio One, kampuni hii naweza kusema inaongoza kwa kuhamwa na wafanya kazi wake, sijui tatizo ni nini hebu angalia mfano
  Regina Mwalekwa from ITV/Radio one to Clouds int.
  Miradi Ayo kaenda clouds
  Sebo kaenda channel ten
  Salum mkambala juzi tu namwona channel ten
  Janet Mwena kwenda clouds
  Abdul Mohamed kwenda clouds
  Musa wa 'mtaani kwetu'eatv kwenda clouds
  Sasa sifahamu tatizo ni nini? Au clouds ni tawi la itv? Au itv hawalipi vizuri au mazingira ya kazi ITV hayapo sawa? Naomba mnijulishe wadau

  Sent from Yahoo! Mail on Android
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,833
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 63
  Mkurugenzi wa Radio One inasemekana hana elimu, nasikia kaishia STD 7 na elimu nyingine ni ya kujiendeleza tu...nasikia hata ngeli inampiga chenga yaani hawezi kabisaaaa.Kilichompa kazi kwa mara ya kwanza ni uzuri wa sauti yake ambayo inavutia kuisikiliza...
  Pili nasikia ni mtu wa majungu sana, haoni shida kumchomea mtu kwa mama(Mhaville)...na hicho ndio kilichompelekea akapandishwa cheo kutoka utangazaji wa michezo, habari na sasa Ukurugenzi.

  Kwa upande mwingine ni kiburi cha mama, pia inasemekana huwa hababaishwi na mtu...ikitokea amekuchukia kwa salama yako ni bora ufungashe tu virago maana itakuwa inakula pande yako sana.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 26,789
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 113
  Sehemu yoyote ukiona turnover ya wafanyakazi ni kubwa kuna mawili.
  1- Wanawatrain wafanyakazi wao kwa hali ya juu sana, kiasi kwamba wanakuwa hot cake kwenye soko. Wakati mwingine wanakuwa head-hunted.

  2- hawalipwi vizuri ama mazingira ya kazi hayaridhishi (kwa usalama, integrity, comfortability na hata respect)
   
 4. Muota Ndoto

  Muota Ndoto Senior Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 4, 2007
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 8
  ITV inaongoza, ITV inaonyesha njia, ITV daima.
  ITV/Radio one wanalipa vyema. Wachovu ndio wanakimbia. Majembe ya wakati wote bado yapo (Rweyunga, Gamba, Fatma, Kitenge nk)
   
 5. m

  mwenyenguvu JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  pia kuna ben na may matha walitimkia tbc
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 7,909
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 83
  Tungempata Misanya Bingi, majibu yangekuwa mujarabu.
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,944
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 38
  sidhani kama ni malipo peke yake kwani juzi juzi Mengi aliwatangazia neema
  labda mazingira ya kazi hayaridhishi au pia watangazaji hao wanatafuta green pastures,
  sio ITV pekee hutokea makampuni yote
   
 8. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 16,329
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 48
  Kazi ni moja wanaangalia maslahi
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,123
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapo penye RED, sioni tatizo kwa mtu alieishia darasa la saba lakini akajiendeleza (maana hastahili kuitwa darasa la saba tena). Labda kama ni tatizo la uongozi mbovu, hata hilo nalo halitatuliwi kwa mtu kuwa na elimu ya juu. Mtu anaweza kuwa na PhD lakini akawa kiongozi hovyo kabisa (do the names Dr Hosea,Chenge, Prof Msolla ring a bell here?)
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,123
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kufanya kazi kwenye organisation moja tu miaka nenda miaka rudi nako ni dalili ya kuwepo tatizo ama kwenye taasisi husika au mfanyakazi binafsi.
   
 11. M

  Moony JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,584
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 36
  kujiendeleza kielimu ni elimu
   
 12. RR

  RR JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,581
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 48
  Ni radio/tv station gani wafanyakazi hawahami??
   
 13. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 349
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Maisha ni kutafuta..kufanya kazi sehemu moja huwezi kuwa na mabadiliko...hasa upande wa maslahi na ufanyaji kazi imara..vile vile unajijengea uwezo binafsi..
   
 14. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,525
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Huyo jamaa baada ya kuharibu kipindi kimoja cha malumbano ya hoja kwa kujaza mapolisi ndani ya ukumbi waliofanya vibweka kibao, niliona alipotea kidogo...mara moja moja alikuwa anaonekana kwenye habari za biashara mara ikawa jiiii kabisa kumbe yupo channel ten!
   
 15. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,221
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 48
  mara ya mwisho alikuwa pale Campus ya MWL J.K NYERERE (Mlimani) anafanya ufuska na mabinti wa SOCIOLOGY!

   
 16. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,817
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  mmmmhhhh kama kweli basi wanayo kazi!!!
  kwa staili hii wanashusha ufanisi wa kazi.
   
 17. wasaimon

  wasaimon R I P

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndivyo ilivyo...ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingie na uicheze...yote kwa yote hakuna palipo pazuri/pabaya ktk ajira yeyote ile, ila changamoto ndizo zinazotofautiana ndio silka yetu wana-wa -Adamu.
   
 18. Muk

  Muk JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 552
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  walikuwa na lao jambo hao
   
 19. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,564
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 48
  huyu mkurugenzi sio mtoto wa mhavile yule alikuwaga mkuu wa mkoa .na fisadi fulani wa enzi hizo ??
   
 20. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Misanya Bingi yuko mitaa ya UDSM ni ''Mhadhili''
   

Share This Page