Kuna nini duniani?

WIMAKU

New Member
Sep 13, 2012
1
0
Jamani baada ya kuuawa kwa balozi wa marekani libya, nini kinaendelea huko 'duniani' kwa sasa? Nasikia wamarekani wamedhibiti balozi zao vilivyo, kulikoni hapa dar es saalaam? Napo wameongeza usalama? Tupeane taarifa jukwaani
 
Pitia jukwaa la kimataifa utapata kila kitu.
Karibu sana.
 
Back
Top Bottom