Kuna nini CCM Z'bar? Dk Shein aongoza kikao cha kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa, Z'bar

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
DK SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCMT AIFA, ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi,alipohudhuria katika mkutano wa kikao cha Kamati Maalum ya ya Halmashuri Kuu ya Taifa ya CCM, katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wazee wa Chama cha Mapinduzi,alipohudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya ya Halmashuri Kuu ya Taifa yaCCM,katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Dk Ali Mohamed Shein,akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya ya Halmashuri Kuu ya Taifa yaCCM,katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jana,(kushoto) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Mohamed Gharib Bilali na Naibu Katibu Mkuu waCCM Zanzibar Saleh Ramadhan Feruzi

Baadhi ya wajumbe wakipitia agenda za mkutano kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM,kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraa la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk Ali Mohamed Shein, leo (Maelezo na picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu.)
 
Siku za nyuma humu janvini kulikuwepo na thread iliyokuwa ikizungumzia ya kwamba Zenj walikuwa wanajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga mfumo wa muungano mapema mwezi huu; labda mambo yameiva.
 
Oh well labda ni Kujadili nana atakuwa Rais upande wa CCM Mwaka 2015... Sasa hawa CCM wameanza kusema Udini - Chadema; Rais wa Zanzibar anaweza kushinda Maeneo ya Bara?
 
Nadhani wanajiandaa kujivua gamba huko Dodoma! Wazanzibar wanataka kupata msimamo wa pamoja watakao kwenda nao Dodoma wakati wa kujivua gamba kama alivyosema Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete! Lakini mbona CCM Bara wao hawana kikao maalumu?
 
Yaani sitaki hata kuiona hii mikijanikijani!
Mkuu.
Itakupasa ufumbe macho yako kwa kipindi kirefu...mikijani ndio inayo-call the short!
Na huu ugoi goi tulionao, wanaelewa udhaifu wetu.

Opposition divided, guaranteed to see mikijani longer!
 
Mkuu.
Itakupasa ufumbe macho yako kwa kipindi kirefu...mikijani ndio inayo-call the short!
Na huu ugoi goi tulionao, wanaelewa udhaifu wetu.

Opposition divided, guaranteed to see mikijani longer!

unataka waungane nani na nani?better divided than uniting opposition with semiCCMz.
 
Kwani ASP imefufuliwa?

Sijawai kusikia wala kuna chama kilicho na mkanganyiko kama CCM, na huu mkanganyiko wa CCM ndio ulioamia hadi ndani ya serikali
 
CCM zanzizbar wana haha. Maana kura ni za kuiba, uraisi wakuiba. wananchi wamewachoka. karibuni Zanzibar itawashinda kutawala kwa fitina zao. subirini. "READ SIGNS OF TIME"
 
CCM zanzizbar wana haha. Maana kura ni za kuiba, uraisi wakuiba. wananchi wamewachoka. karibuni Zanzibar itawashinda kutawala kwa fitina zao. subirini. "READ SIGNS OF TIME"

zanzibar CCM haiibi inashinda, hata Maalim seif mwenyewe kakiri kuwa hajaibiwa ila kura zake hazikutosha kuwa rais

nyuku
ila nyny wakaanga mbuyu ndo mna maneno ya ufukunyuku
 
Nadhani wanajiandaa kujivua gamba huko Dodoma! Wazanzibar wanataka kupata msimamo wa pamoja watakao kwenda nao Dodoma wakati wa kujivua gamba kama alivyosema Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete! Lakini mbona CCM Bara wao hawana kikao maalumu?

Wakijivua hilo gamba walahi litatoka yai.....itabidi wasubiri litotowe
 
Back
Top Bottom