Kuna mwenye kitabu cha mzee Abdul Jumbe?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
Mzee Abdul Jumbe aliandika vizuri sana kuhusu serikali tatu, kunamwenye nakala ya hicho kitabu? hofu yangu CCM wamekificha ni watu wachache sana wanacho, so kama tunaweza kupata soft copy.
 
mmoja aende akumuulize c nasikia yupo kigamboni? huenda anayo copy atusaidie kufahamu nasi leo
 
Ndio hatma ya muungano!!lazima tuje tufike serikali 3...maana hivi hatutaenda kamwe!!tunaomba mwenye nacho akiweke jamvini tupanue wigo wa uelewa
 
Kitabu kinaitwa The partner-ship: Tanganyika-Zanzibar union : 30 turbulent years

Pia kimetafsiriwa kwa Kiswahili, muungano wa Tanganyika na Zanzibar : miaka 30 ya dhoruba

Google utapata mwelekeo wapi utaweza kukipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom