kuna mwanamke wa hivi?

Kwahiyo mnataka kulazimisha kila mtu aamini ameshadanganywa au atadanganywa??Kama yamekukuta wewe sio lazima yanikute na mimi...watu tunatofautiana kwa kila kitu..kwahiyo poleni nyie ila siwezi kuishi kwa wasiwasi wa mtu mwingine vile tu yeye hana imani na mwenzi wake!
 
najiuliza kuna mwanamke ambaye katika maisha yake ya mahusiano kuanzia galfriend n boyfriend, hadi husband and wife hajawahi kutendwa? (cheated)




Sina uhakika kama yupo mwanamke wa hivi,na kama yupo basi atakuwa hajui tu kama anachitiwa..au aliwahi kuchitiwa..
 
Wapo wengi, mimi nina wife wangu ndiye nilikuwa boyfriend wake wa kwanza. Na nilimkuta akiwa bikira na sasa tuna mtoto mmoja. Nilimkuta akiwa na hali hiyo akiwa na age ya 26yrs. Sasa ni very rare kukuta mwanamke bikira.
Ulikuta ya kichina hyo au ali2mia ndim
 
Duh swali noma, wengi tunaaminiwa sana ila mara moja moja tunajisahau tutest pembeni. Noma ni siku akijua. Ila ni dhambi jamani tuache.
 
Natamani kujua wewe ni mwanaume wa namna gani.Je unampa mkeo mapenzi yote bila kutangatanga kwa wanawake wengine? Unam treat kwa heshima? Humnyanyasi?

Tausi wakati wote maisha ni commitment, binafsi naona simnyanyasi kwan nampa nafasi ya kujadili hoja zote. Siwezi fanya maamuzi pekee yangu hasa nikiwa nje na nyumbani. Umri tunalingana 29yrs na wote ni madaktari. Napenda sana kushirikiana na ndo sela yangu kubwa tangu nilipomtongoza. Ninapokuwa nipo home tunasaidiana kufanya usafi, kupika nk. Kwa upende mwingine ingawa ndoa yangu ni changa ila naifurahia.
 
Ulikuta ya kichina hyo au ali2mia ndim

By profesional mim ni Dr, kabla ya sex nilifa examination kwa kweli haikuwa ya kichina. Siku ya kwanza ilimwagika damu nyingi. Alipona baada ya kufanya sex *3 mfululizo baada ya hapo sikuona damu tena. Hivyo nilijiridhisha kuwa si ya kichina.
 
Sina uhakika kama yupo mwanamke wa hivi,na kama yupo basi atakuwa hajui tu kama anachitiwa..au aliwahi kuchitiwa..

thumbs_up_large.png
 
Back
Top Bottom