kuna mwanamke wa hivi?

Kutendwa kivipi sasa?kule ambako kumegundulika au kwa kimyakimya!!!kupigwa fiksi tu au kutembea na mwingine bila kujua au kwa kujua?CCwengine wagumu kidogo kuelewa!!Nifafanulie nichangie bonge la mchango
 
Cheated, still in love, caring na mahaba yake mazito yananifanya teja.
 
Kwanza hadi kuoana tayar mlishatendwa sana, labda kama mmeoana ukute wote bicra na muwe waaminifu hadi kufa
 
Wapo wengi, mimi nina wife wangu ndiye nilikuwa boyfriend wake wa kwanza. Na nilimkuta akiwa bikira na sasa tuna mtoto mmoja. Nilimkuta akiwa na hali hiyo akiwa na age ya 26yrs. Sasa ni very rare kukuta mwanamke bikira.
Natamani kujua wewe ni mwanaume wa namna gani.Je unampa mkeo mapenzi yote bila kutangatanga kwa wanawake wengine? Unam treat kwa heshima? Humnyanyasi?
 
Mh Mambo haya hayatabiriki, asiyecheatiwa leo, aendelee kuomba mungu isimtokee cause wakati mwingine inachukuwa muda mrefu kumgundua cheater, It took me three years of boyff and girlff plus 12 years of marriage only to discover i was cheated. si unaona ee, unakaa mpaka unajisahau then bomu linalipuka. kwa hiyo kila mtu amwombe tu mungu amsaidie anaefanyiwa leo kesho atarelux, anaerelux leo kesho anafanyiwa.
 
umenena vyema sana!
 
Jamani, hivi kati ya iliyopo juu kulia na Thanks ipi ni zawadi kali zaidi? Maana huyu mdada amenikuna mpaka basi.

Tena dada Gaga utashangaa unaweza gundua alianza kukudanganya mwezi wa kwanza tu ktk hiyo miaka 12.
Nafurahi kuona kuna wadada like you ambao wanatambua uwepo wa mambo kama haya, kuliko kujifunga na kudai sijawahi kudanganywa.
Cha muhimu ni upendo, kusikilizana, kusahameana na kujaliana kama alivyosema Shatel hapo juu.
YOU HAVE SPOKEN A VERY VERY USEFUL POINT.

thumbs_up_large.png
 
Amini wapo wanaume wasiocheat!Mimi mpaka sasa hivi kucheatiwa nasikia kwa jirani tu!

Ndugu yangu labda kama umeongea tu kutufurahisha hapa, na kama ndivyo basi endelea kumwomba Mungu hasikuonyeshe da way hawa viumbe walivyo. Yaani hata mimi nilikuwa hivyo hivyo kama wewe, kila siku namtetea mume wangu, mume wangu. Marafiki zangu walikuwa wanaijua tabia yake, hila hawathubutu kuniambia kwa sababu baba D. wangu kwa manjonjo ajambo, hata nikiwa na marafiki zangu malove dave ya ukwekwe ni yule mtu wa kuonyesha wazi wazi kuwa anakupenda hana haya kujivunia mimi mke wake. Pia namshukuru Mungu huwa haninyimi uhuru wangu kwa hiyo huwa naweza kutoka na marafiki zangu, kumbe wenzangu kikawa kinawauma, jinsi jamaa anavyo nidanganya siku ya siku, jamaa akaniambia anasafiri, kumbe halikuwa haendi popote, mashosti wa mujini si wakamwona jamaa, na siku hizi si ni mambo ya utandawazi, wakanipigia cm, uko wapi shosti nikawambia niko kwenye biashara zangu, shemeji hajambo nikawaambia hajambo, hila ametoka kidogo nje ya mji yaani hayupo hapa. Basi mashosti wakanambia njoo tupate moja moto moja baridi, we sikuamini macho wala masikio yangu nilipomwona mpenzi wangu amekaa kiutulivu, na kimwana pembeni tena kwa mahaba ya khali ya juu kwa kweli niliishiwa nguvu sana, mpaka sasa hivi ninapoandika hapa nakumbuka, jamaa alikuwa mdogo kama sisimizi, though huwa sipendi kabisa kukumbuka jamani, kuanzia hapo mimi kumwamini mwanaume jamani ni ngumu sana, japo nilimsamehe lakini kihele hele changu cha kumsifia jamaa kimenitoka.

.
 
Mimi nadhani bado unasababu ya kumwamini mumeo,kwa kuwa inaonekana upendo wake kwako ni wa kweli kabisa.Yawezekana hao unaowaita mashost,baada ya kukuona unafaidi wakamuwinda mumeo hujui kwa gharama gani,hata madawa ya kienyeji,ili tu wakuchome moyo.Na sasa wanajisifu wamekukomoa.Mi nadhani ndo muda wa kuongeza malavidavi.Yawezekana hata hawajafanya Mapenzi nayo mwanamke
Ndugu yangu labda kama umeongea tu kutufurahisha hapa, na kama ndivyo basi endelea kumwomba Mungu hasikuonyeshe da way hawa viumbe walivyo. Yaani hata mimi nilikuwa hivyo hivyo kama wewe, kila siku namtetea mume wangu, mume wangu. Marafiki zangu walikuwa wanaijua tabia yake, hila hawathubutu kuniambia kwa sababu baba D. wangu kwa manjonjo ajambo, hata nikiwa na marafiki zangu malove dave ya ukwekwe ni yule mtu wa kuonyesha wazi wazi kuwa anakupenda hana haya kujivunia mimi mke wake. Pia namshukuru Mungu huwa haninyimi uhuru wangu kwa hiyo huwa naweza kutoka na marafiki zangu, kumbe wenzangu kikawa kinawauma, jinsi jamaa anavyo nidanganya siku ya siku, jamaa akaniambia anasafiri, kumbe halikuwa haendi popote, mashosti wa mujini si wakamwona jamaa, na siku hizi si ni mambo ya utandawazi, wakanipigia cm, uko wapi shosti nikawambia niko kwenye biashara zangu, shemeji hajambo nikawaambia hajambo, hila ametoka kidogo nje ya mji yaani hayupo hapa. Basi mashosti wakanambia njoo tupate moja moto moja baridi, we sikuamini macho wala masikio yangu nilipomwona mpenzi wangu amekaa kiutulivu, na kimwana pembeni tena kwa mahaba ya khali ya juu kwa kweli niliishiwa nguvu sana, mpaka sasa hivi ninapoandika hapa nakumbuka, jamaa alikuwa mdogo kama sisimizi, though huwa sipendi kabisa kukumbuka jamani, kuanzia hapo mimi kumwamini mwanaume jamani ni ngumu sana, japo nilimsamehe lakini kihele hele changu cha kumsifia jamaa kimenitoka.

.
 
najiuliza kuna mwanamke ambaye katika maisha yake ya mahusiano kuanzia galfriend n boyfriend, hadi husband and wife hajawahi kutendwa? (cheated)
Ndio,wapo wengi tu.Mfano mke Wangu kipenzi.
 
Back
Top Bottom