Kuna mtu namchukia humu jf

Status
Not open for further replies.
inakuaje mtu unae mchukia akupagawishe kiasi hicho? Eti mapigo ya moyo yanenda mbio kwa hasira ya kukumbuka alivo muomba penzi? Duh!
sipendi mtu tapeli cause nilikuwa ar akaniambia nije kwa interview dar nilipoteza hela zangu na time for nothing jamani
 
Wewe una lako jambo, ukiona mapigo ya moyo yanaongezeka ujue unampenda. Mi nimekushtukia maana wanawake mna tabia ya kuongea kinyume.
 
Kuna patterns flani flani humu siku hizi zinashika kasi sana. Mine eyes can see through them....lol
Kwanza ukiona thread ya "kuna member" basi ujue ndio hizo. Once in lazima utakuta ni kitu cha kuhusisha love and hate... alafu lazima ioneshe mwanaume ana roho mbaya, but mwanamke alivutiwa somehow (bila yeye kukubali kama alivutiwa). Ukisha iona hiyo, go grab your beer/pepsi and some popcorn, the show will start soon. lol
:pop2::pop2::pop2:
 
haniwezi kwanza yaani ni jinsi alivonisumbua nije dar kumbe hamna lolote nachukia limwanaume liongo jamani dah?
Hakuwezi wakati wewe unamuwaza kila ukiona jina lake mapigo ya moyo yanenda mbio, unataka hata kulog off? Smile bwana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom