Kuna mtu mwenye historia ya jumba la magot?

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Wakati wa mwalimu Julias kulikuwa na lile jumba lijulikanalo kwa jina la MAGOT,nini hasa historia yake?
 
Haliko tena katika uso wa dunia alas! Dar es salaam. Badala yake kuna jengo refu lenye maduka.
Enzi zake lilisifika kwa vitendo viovu ukizingatia kulikuwa na ukumbi wa starehe - wakipiga bendi kama Fovets of Margots ( bendi iliyokuwa ya akina Marehem Kasheba ENZI HIZOOOOOOOOO).Pia kilikuwa kituo cha starehe cha mabaharia kutokana na ukaribu wake na bandarini.Ngoja utasikia mengi zaidi kutoka kwa wenyewe wenyeji wa DSM akina GT.
 
nasikia hii magot iliwapa utajiri akina dada wengi sana walio wahi mjini nyakati hizo,sababu soko lilikuwa kubwa sana na biashara hiyo ilikuwa ikiogopwa kufanywa na dada zetu!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom