Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

wee huna hata nyumba
ilibebwa na mafuriko

I doubt it.
Hahaha! Hivi kumbe bado anaishi kwa balozi mpaka leo?..hajapatiwa hema mabwepande?

Amesema jina la huyo mtesa moyo linaanzia na T, upo hapo mama?
 
poleni mlio na TECHNO...Jux ndio hamumuoni ng'ooo!nimzurije?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom