Kuna mtu amesikia hki kitu leo kuhusu heslb?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Eti kuna msela kaniambia magic fm wametangaza kuwa heslb wametangaza kwenye taarifa yao ya habari ya saa 10 jioni kuwa heslb wametoa majina ya waliopata mkopo,na jumla ya waliopata ni 29000 kati ya 33000 walioomba.kuna mwingne ameckia hii kitu wakuu?
 
Ni kweli,ata mm nimeisikia Channel 10 na kwa mujibu wa kiongozi wa HESL aliyekuwa anatangaza alisema waombaji watembelee website ya HESL kwani tayari wameshaweka majina ya walopata na madaraja yao na kuna wengine wamepewa siku 14 kurekebisha kasoro zilizopo kwenye form zao.Ila cha ajabu nimetembelea website yao haina lolote jipya.Ndio matamko ya bongo hayo best,kiongozi aanasema jambo ambalo hana uhakikanao.
 
nife mamaangu leo silali mpaka nione jina la mke wangu na % aliyopata, wazee kama vp tukutane tukapate hata bia moja moja wakati tunasubiri.
 
Mi presha hii wazee!!
Mi hadi nshasahau kama kuna bodi ya mikopo! Lets see!!
 
jamani NingaR,ze dudu nk mkeshe ila wakiweka tu na nyie myatupie humu. Mi game ikisha huku bernabeu nalala,nikiamka asubuhi break ya kwanza jf.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom