Kuna mtu amegongwa -Tabata

bagain

JF-Expert Member
Jul 21, 2011
361
222
nimepita muda wa saa 12 na nusu asubuhi hii eneo la karibu na tabata bima kuna mtu amegongwa na amelala chini na wamemfunika nguo.

Bodaboda na watu wamezuia barabara na magari yanazunguka kidogo ili kupita hapo.

Hali ya aliyegongwa sijaweza ifahamu ila kulikuwa na damu katikati ya barabara.

Mwenye taarifa zaidi aijuze jamii.
 
Hii tabia ya kutoa taarifa nusu nusu halafu kuwataka watu wengine watoe taarifa kamili tuiache hasa kwa mambo muhimu jamani.Kama tukio limetokea,na unataka kulitolea taarifa chunguza au uliza upate uhakika then utujuze!Pole kwa aliyepata ajali.
 
Kweli mkuu, mimi nimesoma kwa makini lakini sijaambulia kitu zaidi ya mtu amegongwa.
 
Mungu atunusuru na jamaa zetu manake mtu akitoka mzima akirejea mzima unashukuru na ajali hizi..
 
Back
Top Bottom