Kuna mtu aliekulia kijijini ambae hajabaka....

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...Panzi?

Especially wale panzi grasshoppers (Kiswahili chake sikumbuki ila kule kwa kina Sikonge wanaitwa mabulala). For some reason that I can't figure out nimekumbuka enzi zangu za ubakaji panzi na kumbikumbi.
 
...panzi? Especially wale panzi grasshoppers (Kiswahili chake sikumbuki ila kule kwa kina Sikonge wanaitwa mabulala). For some reason that I can't figure out nimekumbuka enzi zangu za ubakaji panzi na kumbikumbi.
Nahisi leo umekula swalu na nsansa zilizoungwa ntwili that's why umekumbuka ya"47"
 
dah!! Nimekuja mbio kushuhudia watu wanavyomwaga siri, kumbe kubaka panzi!
 
niliipiga sana hii kitu tobolwa pale maeneo ya MABAMA miaka ya 98.
Nilikua na nguvu kama sina akiri nzuri,si unajua mambo ya tumbaku?nilikua napiga jembe la hatari mkuu!
But tangu niingie dar hata kumwagilia maua siwezi duh!?kweli sembe halifai.
 
Tutatoana vigimbi jamani, maana nimekuja mbio kushuhudia wabakaji kumbe wa panzi bwana...
 
Hii thread ninoma tutapandishana presha jamani nimekuja na mafaili yangu ya sheria kwa hasira nikute wabakaji kumbe wote wabakwaji!!!!!
 
Back
Top Bottom