Kama umeshafika Arusha, ulizia wenyeji wakupeleke Mrina Pub au Shivers, zote ziko jirani tu Kaloleni hapo. Hapo ni pochi lako tu, huhitaji kusubiria PM huku mtandaoni. Angalizo ni kuwa pale 'ngoma' a.k.a 'mdudu' a.k.a 'mgeni' iko kwa kiwango cha karibia 100%. Uamuzi ni wako, ukitaka kujilipua mzuka tu, hamna noma wala nini, yani kifupi ni wewe tu na roho yako mwana.