Kuna mipango iliyosukwa Lema akigombea ubunge kuenguliwa na tume!

mimi nashangaa sana ...mtu wausalama wa taifa ametumwa afanye kazi in favour of ccm halafu anaanza kupayuka siri za kazi aliyotumwa ... inawezekana kweli au ni hisia za watu

anyways lisemwalo lipo kama halipo linakuja
Mkuu.... Kuna wana usalama , polisi na wanajeshi wengi wameshachoshwa na huu usanii na ubabaishaji. Hawa ni wengi saaana. Kwani unafikiria wana maisha mazuri?
 
Nimeamini ccm ndo adui wetu namba moja nchini! Tukimuua tu Tanzania inatakuwa nchi ya amani na utulivu!
Jamani nina kaswali kadogo hapa! Hivi wanaojiita wapambanaji ndani ya ccm akina sita na mwakyembe kwanini wasitoke huko waje huku cdm? Au watauawa?

Watatuua!
 
Hiki ndicho ulicho taka kusema....asante kwa taarifa...
Waambie, walipolalia CCM ndipo tulipoamkia Chadema. Hakuna kukata rufaa na tunamweka mgombea mwingine. Hayo yote tunayajua. Mnataka tukate rufaa iende mpaka 2015! Mmeliwa! Watawatuma sana kujifanya malaika wa nuru kumbe ni Mapepo tu
 
Kesho pale Viwanja vya unga ltd tutajua cha maana twendeni mapema saa saba tuwasikilize MAKAMANDA wakitupa dira mm nawaamini sana viongozi wetu wote ok mliopo karibu na hapa Arusha come pls sisi chadema hatuna magari ya kutusafirisha ni mifuko yetu tu huku tukijua MUNGU yupo nasi
 
Kesho pale Viwanja vya unga ltd tutajua cha maana twendeni mapema saa saba tuwasikilize MAKAMANDA wakitupa dira mm nawaamini sana viongozi wetu wote ok mliopo karibu na hapa Arusha come pls sisi chadema hatuna magari ya kutusafirisha ni mifuko yetu tu huku tukijua MUNGU yupo nasi
 
Wakuu ninataarifa ya toka chanzo cha kuaminika kuwa hukumu iliyotolewa na lema imepagwa kwa makakati wa ikulu na usalama wa taifa, inasemekena hakimu alimempa ruhusa lema kugombea ili hali akijua kuwa kutakuwa na shinikizo la pingamizi litakalo wasilishwa na chama kimoja wapo cha upinzani, inasemekana pia ikiwa ccm wamejipanga wakijua chadema watakurupuka kuingia kwenye uchaguzi na siyo kukata rufaa kwani, hawangependa kuona chadema inakata rufaa.

My take: Chadema hebu pitieni hukumu kwa uangalifu sana na pia muangalie na mjiridhishe kabla ya kuamua kukubali kuingia kwenye uchaguzi, ikiwezekana mkate rufaa ni hayo.

Rufaa inatakiwa ikatwe ndani ya siku ngapi? siku 28 au kwasababu magamba wanaweza sema muda wa kukata rufaa imepita. Jamani ogopeni chama cha mafisi wao mawazo yao yako kwenye minofu tu hawafikirii lingine. wanashtuka wakishakuwa na mfupa mdomoni ndio utawasikia aah kumbe ilitakiwa iwe ivi.
 
Back
Top Bottom