Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,612
- 864
MMM nj wazi mchezo unaozungumzia ni muswada wa katiba mpya na mchakato mzima unaoendelea sasa. Bila chenga ni dhahiri kuna mchezo mchafu unachezwa ili kwa wao ni kama kuikomoa CDM lakini kumbe ni kinyume chake. Lakini ni matumaini yangu kuwa mchezo huo mwamuzi ni mwananchi.
Wacha waringe kama wao walijipeleka wenyewe bungeni, lakini kwa kadri mambo yanavyosonga ipo siku kitaeleweka tu.
Wacha waringe kama wao walijipeleka wenyewe bungeni, lakini kwa kadri mambo yanavyosonga ipo siku kitaeleweka tu.