Kuna Mbunge anapongeza watumia madawa ya kulevya!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Ni wale walioamua kuacha na kujiunga katika vikundi ushauri vyao huko Pemba/Zanzibar!
 
Vijana hawana kazi ya kufanya hao watumia madawa ya kulevya ki ufupi wamekata tamaa na maisha. Hii nchi hailweki kundi lililokubwa ni kama wakimbizi vile ktk nci yako.
 
Vijana hawana kazi ya kufanya hao watumia madawa ya kulevya ki ufupi wamekata tamaa na maisha. Hii nchi hailweki kundi lililokubwa ni kama wakimbizi vile ktk nci yako.

Kweli mkuu, huku kitaani kwetu ucpime!
 
Hapa Unga ltd kuna diwani anauza madawa ya kulevya. sasa kama ndiyo angechaguliwa kuwa mbunge ungetegemea awalaumu?

Magamba kwa madili feki hawajambo. ili kujua kwamba ccm wanawaabudu wahalifu hebu chekini tu Mtu aliyehukumiwa jela miaka 30 kwa ujambazi wa kutumia silaha anatoka kiajabu ajabu gerezani, na sasa ni diwani wa mererani, bado ccm wanamwomba akagombee ubunge Arusha mjini!
 
Ni wale walioamua kuacha na kujiunga katika vikundi ushauri vyao huko Pemba/Zanzibar!

.

icon1.png
Kuna Mbunge anapongeza watumia madawa ya kulevya!

Mkuu,
Vipi unafanya kazi kwenye magazeti ya udaku nini? ... maana heading utafikiri anapongeza wanaotumia kumbe wewe unamaanisha anawapongeza walioacha!

Sasa wewe unataka watu wakimbilie kunua gazeti lako kwa kichwa cha habari alafu wakianza kusoma ndani wanakuta ... aaagh! .. stori tofauti!

.
 
Back
Top Bottom