Kuna mawaziri watakufa muda wowote

mzushi tu mbona hapa katikati babake alikufa na apakuwa na mtabiri watu waliendelea kufa mfano kanumba babu yangu kule kihagara njambe liuli mwl pesambili mböna wamekufa bila ya hii stupidity prediction
 
huyu jamaa kwa sasa ndo aliyeibeba MIKOBA ya babake,ila sijui ni kwanini anaweza kualika watu halafu awaambie watu juu ya kifo cha mtu au watu

hapo ndo uwa wananiboa, badala ya kutabiri mambo ya msingi, wao wapo interested na vifo vifo tu , ila huyu dogo aliyerithi mikoba inaonesha hamna kitu , sio mchawi mkali kama baba yake,

nakumbuka swaga zake kwenye channel teni , kila kitu yeye anasema hawa ni freemason
 
Hayawezi kuisha kwani lazima pepo la uaguzi liendelee, hata zama zile za zamani walikuwepo watabiri, wabashiri na hata wapunga pepo. Lazima ujue kuwa lazima atokee mwingine badala yake.

Sishangai suala la kufa kwani ni sehemu ya maisha ila kwenye vituko hapo ndio tatizo.

Mrithi wa shekh yahya na ambae ni mtoto wake amesema kuwa mwaka huu kuna mawaziri watakufa ghafla,na pia kuna viongozi wakubwa wa kidini watafanya mambo ya ajabu ambayo yatawadhalilisha na kuwashushia unaarufu na heshima zao.

KUMBE MAMBO HAYA BADO YAPO???
SOSI:MAJIRA
 
UKWELI HAPA NI KWAMBA HUO SI UTABILI KWA KUWA TAYARI NABII JOSEPHATI MWINGIRA AMEKUMBWA NA KASHIFA NZITO!!!!!!!!!!!!!!!!!

[h=2]kESI NA.266/2010 Inayohusu Nabii Mwingira na Wakili Mbuya Kutajwa 1Jun,2012 High Cort[/h]
Taarifa kutoka Mahakama kuu zinaonyesha kuwa kesi husika itatajwa tarehe 1/06/2012 baada ya kuandikwa katika magazeti ya Mwanahalisi na Uwazi.Mgogoro uliyojitokeza kwa wale ambao hawajui wanaweza kusoma hapa chini kwa ufafanuzi zaidi:

Mgogoro uliojitokeza Mhakama kuu kanda ya DSM katika kesi namba 266/2010 iliyofunguliwa na Nabii Josephati Mwingira , mlalamikaji(Mwingira )anamulalamikia Eliya Hubert mbuya kuvunja mkataba wa kumupa sehemu ya kiwanja katika plot namba 548(a) eneo la Kawe Beach ambapo Mwingira amejenga nyumba ya thamani ya

Tshs 1,000,000,000 na kuishi humo.
Katika kesi hiyo Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:

‘That the plantiff’s claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet’ are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant’s wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .’

Wakili Michael Ngalo anaendelea katika Kipengele Cha nane kama ifuatavyo:
‘That in the meantime and then Unknown to the Defendant the Plantiff had sexually assaulted and raped the Defendant wife in the defendants house while the Defendant was at his place of work and managed to bribe the defendants wife into silence about the incident and later an adulterous association persited between the Plaintiff and the Defendants wile for a period of three years until God compelled the Defendant wife to make confession to the defendant about the adulterous association with the Plantiff”.
Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.
Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!
Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote
 
Duuuuuuu

Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira).hii ni mupya mupya kabisa Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote
 
Yaya gweeeeeeee
UKWELI HAPA NI KWAMBA HUO SI UTABILI KWA KUWA TAYARI NABII JOSEPHATI MWINGIRA AMEKUMBWA NA KASHIFA NZITO!!!!!!!!!!!!!!!!!

[h=2]kESI NA.266/2010 Inayohusu Nabii Mwingira na Wakili Mbuya Kutajwa 1Jun,2012 High Cort[/h]
Taarifa kutoka Mahakama kuu zinaonyesha kuwa kesi husika itatajwa tarehe 1/06/2012 baada ya kuandikwa katika magazeti ya Mwanahalisi na Uwazi.Mgogoro uliyojitokeza kwa wale ambao hawajui wanaweza kusoma hapa chini kwa ufafanuzi zaidi:

Mgogoro uliojitokeza Mhakama kuu kanda ya DSM katika kesi namba 266/2010 iliyofunguliwa na Nabii Josephati Mwingira , mlalamikaji(Mwingira )anamulalamikia Eliya Hubert mbuya kuvunja mkataba wa kumupa sehemu ya kiwanja katika plot namba 548(a) eneo la Kawe Beach ambapo Mwingira amejenga nyumba ya thamani ya

Tshs 1,000,000,000 na kuishi humo.
Katika kesi hiyo Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:

‘That the plantiff’s claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet’ are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant’s wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .’

Wakili Michael Ngalo anaendelea katika Kipengele Cha nane kama ifuatavyo:
‘That in the meantime and then Unknown to the Defendant the Plantiff had sexually assaulted and raped the Defendant wife in the defendants house while the Defendant was at his place of work and managed to bribe the defendants wife into silence about the incident and later an adulterous association persited between the Plaintiff and the Defendants wile for a period of three years until God compelled the Defendant wife to make confession to the defendant about the adulterous association with the Plantiff”.
Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.
Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!
Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote

hii mupya mupya kabisa
 
Mrithi wa shekh yahya na ambae ni mtoto wake amesema kuwa mwaka huu kuna mawaziri watakufa ghafla,na pia kuna viongozi wakubwa wa kidini watafanya mambo ya ajabu ambayo yatawadhalilisha na kuwashushia unaarufu na heshima zao.

KUMBE MAMBO HAYA BADO YAPO???
SOSI:MAJIRA

.
Mtoto wa Shekh yahya ameamua kupiga mluzi ili hao wakuu wa nchi washirikina wajue yupo. Utashuhudia sasa watakavyomiminika kwake sasa kutafuta kinga ya hofu waliyohofishwa.
''waache wafu wawazike wafu wao''
.
 
Mrithi wa shekh yahya na ambae ni mtoto wake amesema kuwa mwaka huu kuna mawaziri watakufa ghafla,na pia kuna viongozi wakubwa wa kidini watafanya mambo ya ajabu ambayo yatawadhalilisha na kuwashushia unaarufu na heshima zao.

KUMBE MAMBO HAYA BADO YAPO???
SOSI:MAJIRA

akamatwe ahojiwe ashitakiwe,,bila hivyo ni mauaji na kashfa za kupangwa ametumwa kuandaa watu kisaikilojia,,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom