kuna matumaini yoyote kwa HESLB

barach pwm

Member
Sep 2, 2012
43
5
Ndugu napenda niulize kwa wenye ufahamu kuhusu hili,.
Hivi kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kwa wanafunzi waliosomea masomo ya biashara na arts yaani EGM,HGE.ECA na HGL,HKL,HGK,KLF.
Nimependa niulize kwani sera ya serikali kuzingatia vigezo vya waliosoma science vinatutisha sisi ambao tunaosoma masomo hayo kwa advanced level.
Wenye ujuzi huo mtujuze wakubwa.
 
Matumaini yapo kwa walioomba programmes zenye priorities kama EDUCATION hivyo tuwe na subira mambo yawezekana kuwa mazuri.
 
Sioni haja ya kuwa na serikali kama hii nashindwa kuelewa hivi serikali kama wanapenda watu wa sayansi kwanini wasifute hizi combinationi kuliko kuacha watoto wa wakulima wanasoma hizi combination kwa sababu vitabu vya sayansi na walimu hakuna na ghari sana,baadaye wanakuja kusumbuliwa hivi hii ni haki gan kwa watanzania masikini?
 
Hii Nch Kakaa! Kinachonishangaza Ni Kwamba Kama Sio Nch Ya Mafala,ni Nch Gan Nyngne Inasapot wasomao Science Na Uwalimu!kwan Ndo Wa2 Pekee Wanaoht Ajka?kama Ndio Watoe Hy Michepua Ya Arts Na Biashara.
 
Jamani tunapata presha cause tumekosa ufahamu sahihi juu ya dhana nzima ya priority na non-priority ktk suala zima la utoaji wa mikopo. Kimsingi kulingana na maelezo ya memmber fulani wa HESLB kama alivyoweka bayana ktk kipindi cha "Tuambie" cha TBC 1, priority ni maeneo ambayo serikali imeyapa kipaumbele tu lakini mikopo ni kwa mtu yeyote katika faculty yeyote ili mradi tu amequalify vigezo vinavyohitajika (means testing) kama ilivyoelezwa na bodi, na actually sehemu kubwa ya mikopo mpaka sasa imekuwa iktolewa kwa faculty ambazo cc tunajitia hofu kuwa ni non-priority.
SO EITHER PRIOTY OR NON-PRIORITY MEANS NOT A THING TO A GREAT EXTENT BUT ELIGIBILITY STATUS OF AN APPLICANT tusitiane presha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom