Kuna mataifa mengine watu wake wana roho mbaya sipati picha

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
KUNA MATAIFA MENGINE WATU WAKE WANA ROHO MBAYA SIPATI PICHA DUU..jpg
 
Mungu atuhurumie tu maana imagine hao hapo wangekua ndio ng'ombe na huyo hapo anayefanyiwa hivyo ni binadamu, mngeandamana Mpaka mwisho wa dunia
 
Mkavu, let us think this action from a scientific angle: Ukikata miguu yote minne, kuna profuse bleeding ambayo within no time, less than five minutes I can dare say, huyo ngombe angeli collapse due to lack of oxygen! Unasemaje.
Secondly, na hawezi kutulia namna hiyo, it looks to be happy maana hata waliomshika pembe ni kama wamezigusa tu!!
 
Wahindi makatili sana! Huwezi fanya ukatili kama huo kwa mmnyama!
Kwa asili binadamu tupo wakatili sana.

Kila siku watu tunakula nyama...iwe za ng'ombe, mbuzi, nguruwe na kadhalika.

Na tunasifia utamu wake. Lakini huwa hatujiulizi hizo nyama zimepatikanaje.

Tunawaua wanyama ili tuwale. Tena tunawaua kikatili mno.

Yule dada wa bilionea wa Arusha alivyochinjwa karibu wote tuliulaani huo ukatili. Ikija kwa wanyama wala hatustuki.

Ushaona Wachaga na ndafu zao? Unakuta mbuzi aliyechunwa anachomwa bila hata kukatwa vipande.

Hata wanyama nao wanapenda kuishi. Ila kwa ukatili wetu huwa tunawakatisha maisha.

Tuko makatili sana sisi.
 
Perfect! umesema kitu ambacho huwa nakifikiria ndiyo maana mimi hata kuku siwezi kumchinja na huwa sitazami kabisa. Think of Nguruwe anavyopigwaga shoka utosini eti ndio kumchinja.

BY THE WAY, NYANI UNANIKUMBUKA, KUMBE KAMA SIYO SIASA PEOPLE CAN THINK DEEP, SIASA INATU-CORRUPT SANA. JUZI ULITOA UZI KUHUSIANA NA KUSITISHA MAANDAMANO , ULISHAMBULIWA SANA KUONYESHA LOW THINKING CAPACITY, LEO KWA HILI AMBALO SIO LA SIASA YOU SEEM TO BE OK. KUMBUKA NILIKUSIFIA KAMA ONE OF THE PHILOSOPHERS IN JF
 
Wahindi je ni kama mila zao wasifanye? kama ni picha ya kutengeneza?
Perfect, mila zingine zisizofaa tunaziacha. In this modern world huwezi fanya kitendo kama hicho. Ndio maana UKEKETAJI UNAPIGWA VITA!
Angalia post namba saba nimesemea kitu kinachotaka kufanana na hicho cha photoshop! Thanks for thinking widely
 
Perfect! umesema kitu ambacho huwa nakifikiria ndiyo maana mimi hata kuku siwezi kumchinja na huwa sitazami kabisa. Think of Nguruwe anavyopigwaga shoka utosini eti ndio kumchinja.

BY THE WAY, NYANI UNANIKUMBUKA, KUMBE KAMA SIYO SIASA PEOPLE CAN THINK DEEP, SIASA INATU-CORRUPT SANA. JUZI ULITOA UZI KUHUSIANA NA KUSITISHA MAANDAMANO , ULISHAMBULIWA SANA KUONYESHA LOW THINKING CAPACITY, LEO KWA HILI AMBALO SIO LA SIASA YOU SEEM TO BE OK. KUMBUKA NILIKUSIFIA KAMA ONE OF THE PHILOSOPHERS IN JF

For real?

Kumbe ilikuwa ni wewe. Sasa ilikuwaje ukaja na ile ID? Ulilamba ban nini?

Usijali sana kuhusu hayo mambo ya siasa.

I appreciate the respect and just know that it's mutual.

One love!
 
Kwa asili binadamu tupo wakatili sana.

Kila siku watu tunakula nyama...iwe za ng'ombe, mbuzi, nguruwe na kadhalika.

Na tunasifia utamu wake. Lakini huwa hatujiulizi hizo nyama zimepatikanaje.

Tunawaua wanyama ili tuwale. Tena tunawaua kikatili mno.

Yule dada wa bilionea wa Arusha alivyochinjwa karibu wote tuliulaani huo ukatili. Ikija kwa wanyama wala hatustuki.

Ushaona Wachaga na ndafu zao? Unakuta mbuzi aliyechunwa anachomwa bila hata kukatwa vipande.

Hata wanyama nao wanapenda kuishi. Ila kwa ukatili wetu huwa tunawakatisha maisha.

Tuko makatili sana sisi.
Ndio maana mie ni muumini wa dini ya MARASTA hatuli nyama wa maziwa wala samaki kwa kuzingatia hayo uliyosema Nyani Ngabu
 
For real?

Kumbe ilikuwa ni wewe. Sasa ilikuwaje ukaja na ile ID? Ulilamba ban nini?

Usijali sana kuhusu hayo mambo ya siasa.

I appreciate the respect and just know that it's mutual.

One love!
Kumbe unanikumbuka. Nilikula ban ya name calling! Ukila ban unafungua ID nyingine to keep alive with JF. Kuna jamaa yangu aliachana na JF baada ya kuona JF pamekuwa mahali pa malumbano ya CCM na UKAWA, I am tending in that direction!!
 
Perfect! umesema kitu ambacho huwa nakifikiria ndiyo maana mimi hata kuku siwezi kumchinja na huwa sitazami kabisa. Think of Nguruwe anavyopigwaga shoka utosini eti ndio kumchinja.

BY THE WAY, NYANI UNANIKUMBUKA, KUMBE KAMA SIYO SIASA PEOPLE CAN THINK DEEP, SIASA INATU-CORRUPT SANA. JUZI ULITOA UZI KUHUSIANA NA KUSITISHA MAANDAMANO , ULISHAMBULIWA SANA KUONYESHA LOW THINKING CAPACITY, LEO KWA HILI AMBALO SIO LA SIASA YOU SEEM TO BE OK. KUMBUKA NILIKUSIFIA KAMA ONE OF THE PHILOSOPHERS IN JF
hongera kwa kushindwa kuchinja kuku.

one thing, yeyote asiyeona umuhimu wa kusitisha maandamano ya amani ya Jana yaliyotishiwa na serikali hii ya kidikteta ana matatizo. sijui hiyo high thinking capacity umepimaje.
 
hongera kwa kushindwa kula kuku.

one thing, yeyote asiyeona umuhimu wa kusitisha maandamano ya amani ya Jana yaliyotishiwa na serikali hii ya kidikteta ana matatizo. sijui hiyo high thinking capacity umepimaje.
Sijasema high! Soma vizuri post yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom