Kuna mambo ambayo sio ya kawaida yaliyotokea jana kwenye sherehe za Uhuru wa Tanganyika

Mbona ata watanzania wachache tulikuwemo nani wale wenye mavazi rasmi n.a. kofia ..Bila shaka umejua sisi tulikua ni akina nani
 
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_IMG-20161209-WA0041.jpg
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_IMG_1942.jpg

C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_IMG-20161209-WA0041.jpg C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_IMG_1942.jpg
 
C dhan kama kulkua na ulazma wa watu wote kuwepo jukwaa moja maana wangeenda wangekaa tu wacngeoa lolote hata waliokuepo walitosha na pia wangepunguzwa maana ckuona jpya pamoja na uwepo wao zlensherehe tu
 
Tunapunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Za asubuhi Wapendwa,
Leo katika Pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii,nilikutatana na huu uchambuzi katika page ya kikundi fulani,sikuelewa dhima ila pia katika sherehe hizo sikubahatika kuhudhuria,au kuona pia kwenye luninga,hatukuwa na umeme the whole day,hili ni la ukweli au?

1. Uwakilishi mzito wa viongozi wa Zanzibar kuliko viongozi wa Tanganyika.
2. Kutohudhuria kwa Mawaziri Wakuu wastaafu wote.
3. Kutokuhudhuria kwa Marais wote wastaafu ambao wanatoka Tanganyika.
4. Kutokuhudhuria kwa Mama Maria NYERERE ambaye ni Mkuu wa Baba wa Taifa
5. Kutokuhudhuria kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala Naibu wa Spika.
6. Kuhudhuria kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (Jecha) aliyeboronga uchaguzi uliopita wakati Jaji Lubuva ambaye ndiye Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi inayosimamia uchaguzi wa Tanzania BARA hakuhudhuria.
6. Kutambuliwa kwa Lipumba kama Mwenyekiti wa Chama wakati aliisha jiuzuru na kufukuzwa uanachama.
7. Kutokuonekana kwa viongozi wakuu wa Vyama vya Upinzani.

Kama na wewe umeona kitu ambacho hakikuwa cha kawaida; kitaje bila kutumia Maneno makali au ya kuudhi!

chanzo:tanzagiza
 
Samaha

chanzo:tanzagiza[/QUOTSamahani hivi kuna tofauti kati ya sherehe na maadhimisho??
Anyway ilikua ni maadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru wa nchi moja iliokua inaitwa Tanganyika na hakukuwa na sherehe yoyote kwani hata hivo nchi yenyewe haipo tena!!!
 
Tunajua jana mlikua mnasubiri itumike bajet Kubwa ili mpige kelele..

Sasa Bajet imebanwa na kufanyika Sherehe ya Kawaida Mmeanza Tena Kelele..
Huu ujinga ni shule gani mmnasomea? Mlisoma mmefuta sherehe ili pesa zikatumike kwenye mambo ya maendeleo hivi mmeshapata maendeleo ndio mkaamua kurudisha sherehe? Unajua akili ndogo kama yako ndio imeifikisha hii nchi hapa ilipo? Punguani wewe
 
Benjamin Mkapa alikuwa nje ya nchi.Bila shaka alikuwa Burundi kwa ajili ya kusuruhisha ule mgogoro wa Nkurunzinza na wenzake.Bahati mbaya safari hii Warundi wamemgomea na amerudi mikono mitupu.Aliingia jana jioni kupitia Nairobi.Hivyo kutokuwepo kwake si kwa sabbu alisusia bali alikuwa anatekeleza majukumu ya Tanzania katika siasa za Afrika Mashariki na Nchi za Maziwa Makuu.

JK hakuwepo,naye alikuwa na safari nje ya nchi,msafara wake jana jioni ulitusimamisha wengi barabarani wakati akipita kurudi nyumbani.Kutokuwepo kwao hakumaanishi lolote baya,zaidi ya wao kama marais wasataafu kutumikia jumuiya ya kimataifa kwa kutumia uzoefu wao wa uongozi katika kutatua mizozo na migogoro pamoja na kuhudumia Afrika ktk masuala mtambuka ya kidiplomasia.

Licha ya mapungufu yetu kama Taifa,licha ya kuwa na watu kama Jecha kule Znz na Lubuva huku Bara.Bado Tanzania nje ya mipaka ya nchi tuna heshima yetu.Hata baada ya nusu karne,ushawishi wetu ulioasisiwa na Mwalimu Nyerere unavuka mlima Kilimanjaro na Ziwa Tanganyika.

Ushawishi huu ulisimikwa na Julius;huyu hata baada ya kuondoka Ikulu aliogopeka ndani na nje ya nchi.Masaa kadhaa kwenye gereza la Kabwe Zambia,akiwa na juisi ya chungwa na biscuit,Nyerere alimfanya Kaunda kuacha kugoma kula na kunywa na kufungua "mfungo" wake aliofanya gerezani baada ya kuswekwa rumande na Chiluba.Wakati Nyerere akipanda ndege Lusaka,huku nyuma Kaunda anatoka gerezani na kurudi nyumbani.

Sasa tunakoelekea,tunaweza kuzalisha viongozi ambao hata "ushawishi" wao hauvuki kisiwa cha Chumbe,wala ushawishi hauvuki Ziwa Tanganyika kuelekea maziwa makuu.Tutakosa watu wasio na nguvu kuvuka Ziwa Nyasa na Pwani ya Afrika Mashariki.Nyakati hizo tulisimika Marais na wakawa "vibaraka" wetu kuanzia Ikulu ya Nakavubo mpaka Bujumbura,Ututsi mpaka Moroni.

Leo kuna mktu kakataliwa huko Bujumbura;sababu anakosa "moral Authority" ya kukemea yale wanayotenda wengine sbb na yeye ana harufu ya yanayotendwa na yule anayelalamikiwa.

kupanga kuwa safarini siku ya tukio ni kupanga kulikosa tukio husika
 
Huu ujinga ni shule gani mmnasomea? Mlisoma mmefuta sherehe ili pesa zikatumike kwenye mambo ya maendeleo hivi mmeshapata maendeleo ndio mkaamua kurudisha sherehe? Unajua akili ndogo kama yako ndio imeifikisha hii nchi hapa ilipo? Punguani wewe
una akili nyingi
 
Back
Top Bottom