Kuna makaka mahandsomeeee

ndo kisa cha kugombana na Evans aliponikuta na mdogo wake Nancy..........mapenzi ni ya ajabu sana, yaani ukiwa handsome sometime wnakuja wenyewe kama mbwa anavyoenda kuliwa na chatu!
 
jamani hii thread mbona imenifanya nikose raha, maana mie mbaya kweli, hivi ntapata mke kweli na kama nikimpata si hao mahandsomeee wataniibia?
 
mpaka mwenye
EARL.jpg
we unakubali mungu aliumba!

hizo sifa nishapewa sana ila niliziona hazina maana nilipoachwa!
 
mara nyingi wakaka handsome hawajui mapenzi haswaaaaaa......fanya takwimu mahandsome wangapi wameoa wanawake wazuri sana hakuna its always a viceversa..mdada mzuri na mkaka mbaaya...au mkaka mzuri na mdada mbaaya...its all about how to do it........perfecto....
 
kitaani kwetu bado nawashikia namba moja,ila dogo langu linakuja kwa kasi...madem tukutane kule kwa jana...nyingi sana.
 
aah! Wewe jamani unataka kuniuzia kesi.

Masikini, basi siku nyingine usirudie tena kutumia lugha ya mazungumzo kwenye maandishi,, unaweza kueleweka vinginevyo.
Hope Mkuu Ndyoko siyo Kishoka kama mimi, atakuelewa kwa wema kabisa..

jamani hii thread mbona imenifanya nikose raha, maana mie mbaya kweli, hivi ntapata mke kweli na kama nikimpata si hao mahandsomeee wataniibia?

Kaka usiwe na shaka, utapata tu..
Mimi mwenyewe naamini ipo siku zali litanidondokea, Sura mbaya siyo kikwazo kaka, tujipe moyo!
 
Mwanamme asifiwi sura dada jestina,mwanamme anasifiwa kazi(mbupu) ndoa nyingi zimearibika kwa sababu ya hiyo kitu,mtu ana feza na sura nzuri lakini kazi hapigi(kajo la sakibi) haaaaaa naogopa BAN

TAFITI ZINAONYESHA MTU UKIWA NA GENYE(NAOGOPA BAN) KILA MTU KWAKO UNAMUONA MZURI,HATA KAMA AKIWA NA SURA KAMA MASOUD SURA MBAYA
 
Swadakta haswa. Sifa zaidi kuweza kusimamia mountain bike kilimani na kukza mgongo, kujua shimo uliingie vipi ili umalize mlima kwa kasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom