Kuna mahusiano ya mapenzi without sex?

ananguvu huyu wewe Lizzy, Ohoo miaka zaidi ya 30000 bado anapigana na anaelekea kushinda vita wewe unafikiri ni rahis kumkwepa shauri yako. Sema tu tutajitahidi
 
LD, hata mie huchanganyikiwa sana kati ya mapenzi ya urafiki.

Kuna siku nilileta uzi ila sikupata majibu haswa, ningeweka link ila niko via mobile.

Inanbidi mzee mmoja atufundishe tofauti kati ya Upendo, Mapenzi, Mapenzi(ngono, sijui sex, sijui ku do, sijui tendo la ndoa). Mbu, Asprin na Dark City tusaidieni wajukuu zenu. Mana mi nachanganyikiwa na hizi maneno.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: LD
ananguvu huyu wewe Lizzy, Ohoo miaka zaidi ya 30000 bado anapigana na anaelekea kushinda vita wewe unafikiri ni rahis kumkwepa shauri yako. Sema tu tutajitahidi

Na mimi nna miaka naniii ila mpaka leo hajawahi kunipitia nikafuatana nae. Labda ujisemee wewe unaemwogopa.
 
Inanbidi mzee mmoja atufundishe tofauti kati ya Upendo, Mapenzi, Mapenzi(ngono, sijui sex, sijui ku do, sijui tendo la ndoa). Mbu, Asprin na Dark City tusaidieni wajukuu zenu. Mana mi nachanganyikiwa na hizi maneno.
Nimekuitika LD unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: LD
Mie npo na mpenzi wangu tupo katika hyo hali,mwanzoni kbsa kipndi tunakubaliana,ilikua vigum sana kwangu ckujua kama ntaweza,lakin sa hvi naona kawaida inafikia kipindi mwnzangu anakua ktk hali ya ku do ila nampotezeaga tu kwa sabbu idea ni ya kwake,ni almost mwezi wa 9 tuko poa tu,ila hakuna rafikiangu hata moja nliwai kumwambia kitu hki nahic ntachekwa.
 
Ndugu nilikuwa naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa watu kupendana kwa dhati kimapenzi bila kuenjoy sex?

Very possible ingawa swali lako ni pana sana kulijibu.
Moja; Kuna uwezekano ukawa na rafiki yako mpenzi na mkapendana na kushirikiana sana hata bila kudo. Lakini kwa urafiki wa namna hii, mara nyingi ipo siku watu huteleza na kujikuta wakido kama hawatakuwa makini kusimamia msimamo wao wa mwanzo. Ni vyema pia kujiuliza sababu za kuwa na mpenzi wa bila kudo ili kutoipelekea nafsi yako ikae kwenye hali ya dhiki na tamaa!

Mbili; Unaweza kuwa na rafiki yako mpenzi, lakini huyu anakuwa treated kama rafiki mkubwa. Hawa ni wale watu ambao inawezekana unafanya nao kazi ofisini, biashara, majirani na kusaidiana ktk mambo tofauti tofauti ya kimaisha. Mapenzi ya namna hii, kudo huwa ni NO!

Tatu: Wapo pia wale ambao mnakutana kupitia seminars, workshops, safari, mitandano ya kijamii, matukioa mbali mbali, simu, nk na kujikuta mnajenga urafiki mpaka mnakuwa wapenzi. Ktk uhusiano wa namna hii, Ku-Do huwa ni option!
 
Ni kweli inawezekana lakini angalau mwanamke asiwe tegemezi sana, natetea hoja hapo.

Lwa uzoefu wangu wanaume wanapokuwa wanawahudumia wanawake kwa vitu vingi na ghari kidogo wengi huhitaji ngono kama mrejeshonyuma (feedback) wa huduma zao au kujiridhisha kuwa hawaonekani mabuzi au kuondoa nadharia ya mshika pembe hata kama demu hana mwanaume.

Hivyo panapo mahusiano ya namna hiyo inabidi kila mmoja awe angalau anajimudu kwa mambo ya msingi.

Ni mtazamo tu lakini.
 
Very possible ingawa swali lako ni pana sana kulijibu.
Moja; Kuna uwezekano ukawa na rafiki yako mpenzi na mkapendana na kushirikiana sana hata bila kudo. Lakini kwa urafiki wa namna hii, mara nyingi ipo siku watu huteleza na kujikuta wakido kama hawatakuwa makini kusimamia msimamo wao wa mwanzo. Ni vyema pia kujiuliza sababu za kuwa na mpenzi wa bila kudo ili kutoipelekea nafsi yako ikae kwenye hali ya dhiki na tamaa!

Mbili; Unaweza kuwa na rafiki yako mpenzi, lakini huyu anakuwa treated kama rafiki mkubwa. Hawa ni wale watu ambao inawezekana unafanya nao kazi ofisini, biashara, majirani na kusaidiana ktk mambo tofauti tofauti ya kimaisha. Mapenzi ya namna hii, kudo huwa ni NO!

Tatu: Wapo pia wale ambao mnakutana kupitia seminars, workshops, safari, mitandano ya kijamii, matukioa mbali mbali, simu, nk na kujikuta mnajenga urafiki mpaka mnakuwa wapenzi. Ktk uhusiano wa namna hii, Ku-Do huwa ni option!

Horsepower umejitahidi sana kuelezea vizuri, naunga mkono na nakubaliana na wewe hasa pale kwenye wawili kuelewa sababu ya wao kuwa na mahusiano ya mapenzi na kusaidiana katika mambi madogo madogo na baadae msido.
 
Very possible ingawa swali lako ni pana sana kulijibu.
Moja; Kuna uwezekano ukawa na rafiki yako mpenzi na mkapendana na kushirikiana sana hata bila kudo. Lakini kwa urafiki wa namna hii, mara nyingi ipo siku watu huteleza na kujikuta wakido kama hawatakuwa makini kusimamia msimamo wao wa mwanzo. Ni vyema pia kujiuliza sababu za kuwa na mpenzi wa bila kudo ili kutoipelekea nafsi yako ikae kwenye hali ya dhiki na tamaa!

Mbili; Unaweza kuwa na rafiki yako mpenzi, lakini huyu anakuwa treated kama rafiki mkubwa. Hawa ni wale watu ambao inawezekana unafanya nao kazi ofisini, biashara, majirani na kusaidiana ktk mambo tofauti tofauti ya kimaisha. Mapenzi ya namna hii, kudo huwa ni NO!

Tatu: Wapo pia wale ambao mnakutana kupitia seminars, workshops, safari, mitandano ya kijamii, matukioa mbali mbali, simu, nk na kujikuta mnajenga urafiki mpaka mnakuwa wapenzi. Ktk uhusiano wa namna hii, Ku-Do huwa ni option!

Mie nimekuelewa. sasa kwanini uite hayo mahusiano

wapenzi badala ya marafiki ambayo hasa ndio?
 
Mapenzi bila sex yanawezekana..
Ila to me mapenzi bila pesa hayawezekani..#nawaza tu#
 
Inanbidi mzee mmoja atufundishe tofauti kati ya Upendo, Mapenzi, Mapenzi(ngono, sijui sex, sijui ku do, sijui tendo la ndoa). Mbu, Asprin na Dark City tusaidieni wajukuu zenu. Mana mi nachanganyikiwa na hizi maneno.

LD,

Mapenzi bila ngono sijawahi kusikia...ila upendo unakusanya kila kitu chema kwa mpenzi na wengine!!

Babu DC!!
 
Ndugu nilikuwa naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa watu kupendana kwa dhati kimapenzi bila kuenjoy sex?

Yani dia tulikuwa tunabishana jana kuhusu kutokufanya sex alafu leo umeyaleta huku? kweli unapenda sex, kumbe ulivyokubali ilikuwa kwa shingo upande tu eeeh
 
Back
Top Bottom