Kuna Madhara ya mechi kila siku?

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
jamani nauliza tuu! Kuna madhara ya kufanya mapenzi kila siku na je katika wiki inataka lifanyike mara ngapi?
 
Ufffff....kazi kweli kweli...

We toka umeoa/au kuolewa umekuwa unafanya kila siku? Kuna madhara yamekukuta au yamemkuta mwenzio? ...................

Lets start here
na kama hujaoa au kuolewa pia sema ili tufunge post tungoje ukue
 
Kwani ukiwa member lazima uandike vitu visivyofikirika kwamba mtu anaweza asijue some ABCDs of sthg common..........
 
JAMANI WANA JAMVINI MBONA MNAKUWA KAMA MAKAMBA AMBAE ALISHA ACHA KUTUMIA UBONGO WAKE SIKU NYINGI!? Coz lazima tujiulize haya maswali kwani huenda kuna madhara.
 
jamni msimshambulie kwani kauliza na kama hakuna jibu lets stay quite
mwaya mpendwa mimi sijawahi sikia madhara ila uchovu nadhani unaweza kuwa mkubwa na kama utakuwa
employee som where perfomamce ya kazi itashuka na usingizi mwingi mda wa mchana kitu ambacho si kizuri
kwa ushauri fanya mara nne kwa wiki mostly during weekend
 
duh hapo kaaazi kweli kweli kwa mwanaume unaweza kuenjoy ila kwa mwanamke itakuwa kama yupo kazini au kwenye adhabu .
lakini mwanaume pia utapauka vinginevyo ule msosi kama kuli LOL
 
Tatizo naloona ni pale wewe peke yako uwe unajisikia kila siku wakati mwenzio sometimes hayuko kwenye mood. Too much of anything is harmful. Sina maana ya kiafya ila utaishia kumbaka mkeo/mumeo/girlfriend/boyfriend. Au ndo utatafuta wa pembeni.
 
nimewahi kuuliza humu JF kama ratiba ya kufanya mapenzi nikaambiwa ratiba itajipanga yenyewe.
nadhani ndoa yako ni changa ndio maana unafanya kila siku baada ya muda ratiba itajipanga
 
Back
Top Bottom