kuna madhara kulala na feni?

muuza ugoro

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
334
59
wananchi, kutokana na joto plus mijimmbu hapa mjini, huwa nalala na my feni inazunguka. nawekaga namba 1 au 2 smtimes. kuna cku niliamka na mafua i thnk ni 7bu ya feni. hv kuna effect sleepn wen ths thng is rotating?
 
wananchi, kutokana na joto plus mijimmbu hapa mjini, huwa nalala na my feni inazunguka. nawekaga namba 1 au 2 smtimes. kuna cku niliamka na mafua i thnk ni 7bu ya feni. hv kuna effect sleepn wen ths thng is rotating?

Lakini mbona hata ambao hawana mafeni nao huugua mafua? Au kuna takwimu zinazoneesha kuwa watu wanaotumia feni ndio huugua mafua zaidi kuliko wasiotumia? Mafua husababishwa na virus je yawezekana mafeni yana virus?
 
You'll dehydrate yourself.
unapoamka umekosa nguvu akbisa, ujue hiyo ni feni.
Jaribu bila feni afu uone nguvu utakayoamka nayo.

Kama haiepukiki, just make sure angalau ni minimum speed.
Ikiwa imeelekea upande wa dirisha, hapo unajinyima haki.
Kama hauna dirisha, bas angalau cheki na mlango. Tumia chandarua mzee. Sio dhambi
 
Kwa joto la bongo sidhani kama m2 unaweza lala bila feni,2012 Dunia ni yako chaguo ni lako,epuka vipele vya joto kwa kutumia feni.
 
ni kweli nimegundua kulala na feni kuna 7bisha dehydration. na kuishwa nguvu.
 
The Boss, wacha utani mkuu.

mkuu sio utani
nimeuliza makusudi ili watu wapate kuelewa wengi zaidi
mimi binafsi niliambia kuna madhara makubwa
cha kushangaza watu weengi mno wanalala na AC...
na nikiwaambia wananibishia...
si nilitaka hapa wataalam wamwage data....
 
mkuu sio utani
nimeuliza makusudi ili watu wapate kuelewa wengi zaidi
mimi binafsi niliambia kuna madhara makubwa
cha kushangaza watu weengi mno wanalala na AC...
na nikiwaambia wananibishia...
si nilitaka hapa wataalam wamwage data....

Binafsi natumia AC ila nikilala napenda set jito liwe around 23-24
Sijawahi amka na uchovu wowote.
OTIS
 
YEAH, I THINK kulala na feni (kwa maana ya wewe kulala yenyewe ikiwa on) inasababisha mafua kwa sababu ina kusanya vumbi na as a result unajikuta umevuta ile vumbi
about ac ​air conditioners create condensation on the cooling coils and in drain pans that can grow microorganisms and mold, according to the August 2004 "International Journal of Epidemiology." These are spread throughout the home by the central air conditioning ventilation system. People who suffer from asthma, bronchitis or other respiratory illnesses can get serious lung infections, shortness of breath, wheezing or other severe reactions, according to the Centers for Disease Control and Prevention (CDC).

The CDC also noted that mold from central air conditioners can affect healthy individuals, causing wheezing, coughing and upper respiratory tract symptoms.
 
Back
Top Bottom