Kuna Mademu wanajiuza facebook!!

Siku hizi hiyo ya video calling imeingiliwa na mabazazi. Juzi nilisoma msichana mmoja wa umri mdogo aliyedanganywa kwa kuwekewa video iliyorekodiwa kabla kidume cha umri wake kumbe ni mzee wa +50. Yalofuatia, msichana alikwenda kuchukua PF3 na kesi iko mahakamani.

Jamanii....hahahah
 
Fesbuk ni noma, nilimtongoza demu mpaka kaingia line. Lakini siku nilipomwona kwa macho nilitamani ardhi ipasuke. Mpaka namba yake niliifuta. Wanawake wengi waongo hawaweki image yao original.

Hahahaaaa shikamoo fesibuku
 
Back
Top Bottom