KUNA Kundi la wawekezaji wanaodhamini uhalifu kuondoa amani Tanzania

Chanzo cha ndani kabisa kwenye mambo ya usalama wa kimataifa kimenipatia taarifa kuwa kuna syndicate iliyopo tanzania ambao walishiriki katika kumpa sumu mwakyembe wakiwa na lengo la kuleta machafuko lakini jaribio likashindwa pale serikali ilipoweka mamia ya. Million kuokoa maisha ya mbunge huyo.

Baada ya kushindwa kwa jaribio hilo na la kumuua dr wilbroad slaa Mwanza pale alipowekewa chemical za kuteleza bafuni lakini jaribio likashindwa.

Ikabidi atafutwe mtu atakaye leta hamasa kwenye jamii na kuchochea machafuko dar es salaam kwani ndio eneo strategic kwa kuanzisha machafuko ambayo yataleta mazingira ya kutekeleza matakwayao ikiwa ni pamoja na kusaliti amri ya amiri jeshi mkuu wakati wa kuzima machafuko hayo na jeshi kuasi.

Hapo ndipo Dr stephen ulimboka alipoonekana kuwa angeweza kuwa chachu ya kuchochea hali hiyo lakini haikufanikiwa.

Katika hali hiyo ya kushindwa kukamilisha matakwa yao aliingizwa gaidi la kukodiwa kutoka ugermany ambao wengi tunajua nini kilimpata.

Sasa hivi kuna mkakati wa kumtafuta mtu ambaye anakubalika sana katika jamii ya wadarisalama ili kufikia adhima hiyo.

Katika hali hii kama mwanaharakati na mtanzania nawaomba viongozi wa siasa na kidini kutokukaa maeneo hatarishi kwa utekelezaji wa adhima hii mbaya ya kuondoA lulu yetu ya amani.

Tumechonganishwa na UWT, tumechonganishwa na Rais Tumechonganishwa kwa dini, Tumechonganishwa kwa kanda lakini sasa wabaya wetu wanaenda jeshini. Tuzidi kumuomba Mungu na kuwaumbua wale wote wanaokusudia mabaya kwenye nchi yetu.

Kama mwanaharakatihuru nasema nyie kikundi amani ikitoweka hamtasalimika pia.

UWT anzieni kwa mwakyembe na ripoti yake Ulimboka na tuhuma hizi mpya za Chadema hao ninao wasema wako nyuma ya hayo.

Mchwa akipanda kwenye jembe kinachotafutwa ni mpini na sio jembe. Kichwa ndio kinatfutwa.

JK anaweza akawa na mapungufu na bali yeye sio Gaidi namtetea kikundi kipo kinachotaka kumchafua kwa mapandikizi yao UWT.

Mheshimiwa fumua UWT mapema hiki kikundi kitapatikana

Kitu omary ngwara ngwara hata mjisafishe kwa magad imedunda!
 
Back
Top Bottom