Kuna kitu sielewi kuhusu mpaka wa Tanganyika & Z'bar

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Hivi,; ni mkataba upi ulimpa sultani wa z'bar maili 6 kutoka mstari wa pwani? Na je; huo mpaka ndio tunaouzingatia au nivipi. Hebu nijuzeni kidogo nielewe T'nyika na Z'bar inapoishia kimipaka!
 
Kuna sheria za kimataifa kuhusu mipaka ya bahari amboye Joseph Warioba kuna wakati alikuwa raisi wa Sea Convention duniani, ambayo kwa ninavyo kumbuka ni maili 200 toka mpaka wa kila nchi, sasa sijui pemba to tanga ni mile ngapi au Zanzibar to Bagamoyo/
Dar ni mile ngapi na ikiwa hizo mile ni pungufu ya 200 inakuwaje ? pari pasu? yaani nusu bin nusu?
 
Back
Top Bottom