Kuna kiongozi anayeishi kama nyerere?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Jina lake linatumiwa kuwababaisha Watanzania
• Linatumiwa kujilinda dhidi ya hasira za umma
• Ni kwa madai ya kuendeleza amani na utulivu
1254815241_nyerere_pc.jpg


1254814941_nyerere_3.jpg


TAREHE 14 Oktoba mwaka huu unatimia mwaka wa 10 tangu kufariki kwa kiongozi wa kwanza wa nchi hii baada ya utawala wa kikoloni uliomalizika usiku wa tarehe 9 Desemba, 1961...
 
Its almost too late to fool people now!
Watu washajua kwamba hakuna wa kufanana na yule raia bana!
Hadanganyiki mtu hapa!
 
hakuna jipya zaidi ya kuwadanganya watu waogope, aliwatisha watu na yeye alipenda atukuzwe peke yake, lakini sio kwamba aliishi maisha ambayo watu wanayaona kwa nje
 
hakuna jipya zaidi ya kuwadanganya watu waogope, aliwatisha watu na yeye alipenda atukuzwe peke yake, lakini sio kwamba aliishi maisha ambayo watu wanayaona kwa nje
Unataka kusemaje?
 
Nasikia Gudboy alikuwa room mate wake Nyerere pale Butiama kwa hiyo anajua inside information nyingi ambazo wengine hatunazo.
 
Gudboy mzushi tuu huyo hana kitu. Wewe unataka kulinganisha Nyerere na hawa wezi, matapeli wa miaka hii Mafisadi, mafataki, acha uzushi kuhusu Nyerere, aliheshimiwa na duni nzimaaaaa
 
Nasikia Gudboy alikuwa room mate wake Nyerere pale Butiama kwa hiyo anajua inside information nyingi ambazo wengine hatunazo.

Jamani tusimpinge sana Gudboy inawezekana kweli jamaa ana info,hebu tujaribu kutafuta watu ambao kwa sasa wapo butiama (wakazi wa pale yaani waliozaliwa pale na wanaoishi pale kwa sasa) inawezekana tukapata full info.Nilikua huko last month kuna mambo niliyasikia ila sikutaka sana kuyaamini na bado nayafanyia uchunguzi kwa sababu nategemea kwenda huko tena kabla mwaka huu haujaisha ila kwa sasa naomba msiniulize hayo niliyosikia,samahanini sana wakuu kwa hilo.
 
huyu mtu hafananishwi jamani...waja waondoka lakini yeye anadumu mawazoni mwetu kutokana na imani na sera ake pamoja na kwamba hazikutimia vile vile kutokana na maisha aliyoishi sidhani kama kuna kiongozi yeyote atapenda aishi maisha kama ya nyerere na watoto wake........hizi blabla zingine dhidi yake mi naona ni walewale wanaosema alikandamiza uislam kitu ambacho si kweli........
 
namueshimu Mwalimu kwa amani ya Tz!! ila alichemsha azimio la Arusha(ujamaa), hivyo akawa ana-make up for his mess!!
hamna kiongozi anaweza ishi kama yeye, hata ningekuwa mimi au wewe unayesoma, tusidanganyane, uwezi unless, u r conditioned to that economically!!
 
Back
Top Bottom